Spika Ndugai: Sijapata taarifa rasmi ya Zitto kutishiwa uhai, Wabunge wapo salama

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,844
Sijapata taarifa rasmi ya Zitto kutishiwa uhai, Wabunge wapo salama -Spika Ndugai

Yasini Ngitu 4 hours ago

153

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai, ametoa kauli yake baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe kulalamika kutishiwa uhai na mtu wa usalama wa Taifa ndani ya viwanja vya Bunge siku ya jana Januari 18, mpaka kufikia hatua ya kumuandikia Spika Barua.

[http://bongo5]

Akizungumza na www.eatv.tv, Spika Ndugai amesema kwamba barua hiyo haijamfikia rasmi mezani kwake ingawa kaiona mitandaoni, hivyo hawezi kuifanyia kazi mpaka pale itakapofika mezani kwake.

“Barua haijanifikia, unajua baadhi ya matatizo tunayapata siku hizi tunayakimbizia kwenye mitandao, inatakiwa niipate rasmi kama ni ya kweli tutayafanyia kazi”, amesema Spika Ndugai.

Akiendelea kuzungumzia suala hilo Spika Ndugai amesema licha ya taarifa hizo usalama wa Wabunge uko ‘guaranteed”, ingawa taarifa hizo sio za kuzipuuzia.

“Usalama wa wabunge uko ‘guaranteed’, wabunge wako salama kabisa, kumbuka Wabunge wote kwa ujumla wetu tuko 363, na tuna watumishi pale bungeni zaidi ya 300, kwa hiyo kuna ‘community’ ya watu mia sita, ukisikia mtu mmoja analalamika, wawili kwenye kundi kubwa kiasi hicho, unatakiwa ulifikirie hilo jambo, sio la kudharau hata kidogo, lakini halimaanishi kwamba hapo mahali usalama haupo, pako salama sana”, amesema Spika Ndugai.

Licha ya hayo Spika Ndugai amekanusha tuhuma za kuwazima wabunge wa upinzani pale wanapotaka kuibua hoja ya msingi kuhusu muswada wa vyama vya siasa, na kusema kwamba wakati huu wadau (wananchi) ndio wanatoa maoni yao, na wao utakapofika muda wao wataruhusiwa kutoa maoni yao, hivyo wawaache wananchi wautumie muda wao.

“Hakuna wabunge wa upinzani wanaozimishwa, kwa sababu kinachoendelea sasa hivi Kamati inasikiliza wadau, Watanzania wanakuja pale kwenye Bunge wanatoa maoni yao kuhusu ule muswada, Wabunge wanapoingia mule ndani na kuanza kuleta fujo maana yake nini wakati huu sio zamu yao wao!? Zamu yao itakuja kwenye bunge mule, sasa wao wanakuja wanaanza kuleta fujo”, amesema Spika Ndugai.

Msikilize Spika Ndugai hapa chini akizungumzia hilo na kuwapa Wabunge ujumbe mzito juu ya kinachoendelea Dodoma

Source: EATV
 
Ataipataje wakati yuko busy na kimshughulikia CAG?? Yaani sijui mlimtoa wapi huyu Mgogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mtukufu spika kwa kulitolea hili ufafanuzi,undefinedkwweli tumejaaliwa spika mchapakazi ambae hajawahi tokea tangu tupate uhuru,undefinednakuomba uendelee na moyo huo huo
 
kwenye maelezo ya zitto ni kama anasema ally saleh aliruhusiwa kuchangia kwenye huo mkutano, vipi yeye ni mwananchi tu wa kawaida??
pia wadau wa JF hususani wataalamu wa sheria changieni maoni kuhusu huo muswasda wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa hata kwa email imeruhusiwa, baadae tusije kulalamika alafu waziri akawa anatoa yale majibu yao ya kizembe kama vile "tulishirikisha wadau".
 
Nduga
Sijapata taarifa rasmi ya Zitto kutishiwa uhai, Wabunge wapo salama -Spika Ndugai

Yasini Ngitu 4 hours ago

153

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai, ametoa kauli yake baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe kulalamika kutishiwa uhai na mtu wa usalama wa Taifa ndani ya viwanja vya Bunge siku ya jana Januari 18, mpaka kufikia hatua ya kumuandikia Spika Barua.

[http://bongo5]

Akizungumza na www.eatv.tv, Spika Ndugai amesema kwamba barua hiyo haijamfikia rasmi mezani kwake ingawa kaiona mitandaoni, hivyo hawezi kuifanyia kazi mpaka pale itakapofika mezani kwake.

“Barua haijanifikia, unajua baadhi ya matatizo tunayapata siku hizi tunayakimbizia kwenye mitandao, inatakiwa niipate rasmi kama ni ya kweli tutayafanyia kazi”, amesema Spika Ndugai.

Akiendelea kuzungumzia suala hilo Spika Ndugai amesema licha ya taarifa hizo usalama wa Wabunge uko ‘guaranteed”, ingawa taarifa hizo sio za kuzipuuzia.

“Usalama wa wabunge uko ‘guaranteed’, wabunge wako salama kabisa, kumbuka Wabunge wote kwa ujumla wetu tuko 363, na tuna watumishi pale bungeni zaidi ya 300, kwa hiyo kuna ‘community’ ya watu mia sita, ukisikia mtu mmoja analalamika, wawili kwenye kundi kubwa kiasi hicho, unatakiwa ulifikirie hilo jambo, sio la kudharau hata kidogo, lakini halimaanishi kwamba hapo mahali usalama haupo, pako salama sana”, amesema Spika Ndugai.

Licha ya hayo Spika Ndugai amekanusha tuhuma za kuwazima wabunge wa upinzani pale wanapotaka kuibua hoja ya msingi kuhusu muswada wa vyama vya siasa, na kusema kwamba wakati huu wadau (wananchi) ndio wanatoa maoni yao, na wao utakapofika muda wao wataruhusiwa kutoa maoni yao, hivyo wawaache wananchi wautumie muda wao.

“Hakuna wabunge wa upinzani wanaozimishwa, kwa sababu kinachoendelea sasa hivi Kamati inasikiliza wadau, Watanzania wanakuja pale kwenye Bunge wanatoa maoni yao kuhusu ule muswada, Wabunge wanapoingia mule ndani na kuanza kuleta fujo maana yake nini wakati huu sio zamu yao wao!? Zamu yao itakuja kwenye bunge mule, sasa wao wanakuja wanaanza kuleta fujo”, amesema Spika Ndugai.

Msikilize Spika Ndugai hapa chini akizungumzia hilo na kuwapa Wabunge ujumbe mzito juu ya kinachoendelea Dodoma

Source: EATV
Ndugai kukanusha kunakupunguzia hadhi yako,nani alikwambia uspika ni kuwafagilia executive?
Au nani alikwambia raisi ana mamlaka juu ya speaker?
Unajimaliza mwenyewe.
 
Sawa MkuuNDU GAI endelea kusema hivyo hivyo haujapata barua ya zitto,Nakumbuka ulivyotoka kutibiwa nje ya nchi ulirudi umedhoofu sana mwili,nakumbuka miongoni mwa watu wa kwanza kukuona Zitto alikuwa mmoja wapo!! Endelea kuwa na kiburi.
 
Sijapata taarifa rasmi ya Zitto kutishiwa uhai, Wabunge wapo salama -Spika Ndugai

Yasini Ngitu 4 hours ago

153

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai, ametoa kauli yake baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe kulalamika kutishiwa uhai na mtu wa usalama wa Taifa ndani ya viwanja vya Bunge siku ya jana Januari 18, mpaka kufikia hatua ya kumuandikia Spika Barua.

[http://bongo5]

Akizungumza na www.eatv.tv, Spika Ndugai amesema kwamba barua hiyo haijamfikia rasmi mezani kwake ingawa kaiona mitandaoni, hivyo hawezi kuifanyia kazi mpaka pale itakapofika mezani kwake.

“Barua haijanifikia, unajua baadhi ya matatizo tunayapata siku hizi tunayakimbizia kwenye mitandao, inatakiwa niipate rasmi kama ni ya kweli tutayafanyia kazi”, amesema Spika Ndugai.

Akiendelea kuzungumzia suala hilo Spika Ndugai amesema licha ya taarifa hizo usalama wa Wabunge uko ‘guaranteed”, ingawa taarifa hizo sio za kuzipuuzia.

“Usalama wa wabunge uko ‘guaranteed’, wabunge wako salama kabisa, kumbuka Wabunge wote kwa ujumla wetu tuko 363, na tuna watumishi pale bungeni zaidi ya 300, kwa hiyo kuna ‘community’ ya watu mia sita, ukisikia mtu mmoja analalamika, wawili kwenye kundi kubwa kiasi hicho, unatakiwa ulifikirie hilo jambo, sio la kudharau hata kidogo, lakini halimaanishi kwamba hapo mahali usalama haupo, pako salama sana”, amesema Spika Ndugai.

Licha ya hayo Spika Ndugai amekanusha tuhuma za kuwazima wabunge wa upinzani pale wanapotaka kuibua hoja ya msingi kuhusu muswada wa vyama vya siasa, na kusema kwamba wakati huu wadau (wananchi) ndio wanatoa maoni yao, na wao utakapofika muda wao wataruhusiwa kutoa maoni yao, hivyo wawaache wananchi wautumie muda wao.

“Hakuna wabunge wa upinzani wanaozimishwa, kwa sababu kinachoendelea sasa hivi Kamati inasikiliza wadau, Watanzania wanakuja pale kwenye Bunge wanatoa maoni yao kuhusu ule muswada, Wabunge wanapoingia mule ndani na kuanza kuleta fujo maana yake nini wakati huu sio zamu yao wao!? Zamu yao itakuja kwenye bunge mule, sasa wao wanakuja wanaanza kuleta fujo”, amesema Spika Ndugai.

Msikilize Spika Ndugai hapa chini akizungumzia hilo na kuwapa Wabunge ujumbe mzito juu ya kinachoendelea Dodoma

Source: EATV
Ndugai ni kichaa, period - na wala siogopi ban!
 
mi kwasasa namuunga mkono mh Rais wetu Magufuli. nimekubali yaishe tuijenge nchi kwasasa nimegundua kadiri tunavyompinga huyu mzee baba hata kama anakosea nae anazidi kwenda chaka zaid hivyo tunapotea zaid lakin tufikie mahali tujaribu kumuelewa then akiwa comfortable na mamlaka yake anaweza angalau akashaurika kama tukimtafuta kimya kimya bila media. nafikir tufikie mahali tukubali kuna plan b hata unapokuwa na baba mkali kuna namna unatengeneza mazingira ya kumwelewa na kuish nae hivyo hivyo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom