Spika Ndugai sasa ameipa uzito hoja ya Nape Nnauye kwamba Mikopo yote iliyoingiwa na serikali hadi sasa ikajadiliwe bungeni!

Mungu hana chuki na mwenye kutubia humsamehe yoyote bila kujali makosa alofanya''
 
Huu ndio wakati ambao mbunge wa Mtama Nape Nnauye anapaswa kuishikia bango hoja yake ili mkopo wote wa tsh 82 trillion uliokopwa kuanzia awamu ya 1 hadi ya 6 ifikishwe bungeni kwa mjadala wa WAZI.

Mungu mtie nguvu Spika Ndugai na Nape Nnauye.
Bila uchama ipo haja ya kuangalia ongezeko la deni na thamani ya miradi so far inaonekana kabisa hakuna uwiano deni ni kubwa kuliko thamani ya miradi iliyofanyika
 
Kwa siku mnatakiwa mposti nyuzi ngapi hapa jukwaani?
 
Wanajua awamu ya nne na ya sita zinaongoza kwa kukopa na hela hazieleweki ziliko au zinachofanya. Wahuni hawatakuwa tayari kuhoji.

#kataawahuni
 
Anafikiri kina mgao. Mbona anang'ang'ania sana mikopo ya SSH. Si alishangilia sana wakati wa JPM eti alikuwa anaupiga mwingi atauwa upinzani.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Huu ndio wakati ambao mbunge wa Mtama Nape Nnauye anapaswa kuishikia bango hoja yake ili mkopo wote wa tsh 82 trillion uliokopwa kuanzia awamu ya 1 hadi ya 6 ifikishwe bungeni kwa mjadala wa WAZI.

Mungu mtie nguvu Spika Ndugai na Nape Nnauye.
Kwa bunge lipi?
 
CCM hawawezi kukubali kwa sababu mikopo ya mama iko wazi ila mikopo ya Mwendazake haiko wazi ilifanya nini na ina masharti gani.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
ipo wazi ya mama je inaenda wapi ?je kweli zinaenda kwenye maendeleo. jpm maendeleo yake yanaonekana
Yanaonekana sio? Soma hapa 👇

Screenshot_20211231-123929.png
 
Huu ndio wakati ambao mbunge wa Mtama Nape Nnauye anapaswa kuishikia bango hoja yake ili mkopo wote wa tsh 82 trillion uliokopwa kuanzia awamu ya 1 hadi ya 6 ifikishwe bungeni kwa mjadala wa WAZI.

Mungu mtie nguvu Spika Ndugai na Nape Nnauye.
Mikopo yote tangu awamu ya 1 ni mingi sana kulinganisha na deni liliopo sasa hivi (82 trillion) uliyoandika.
Muda mwingi utatumika bila sababu kujadili kuanzia awamu ya kwanza. Hoja ya Nape ni kuanzia awamu ya 5 tu.
 
Back
Top Bottom