Spika wa Bunge , kiongozi wa Muhimili wa dola kulia lia hadharani kuomba asamehewe kwenu ni dalili za kukomaa kisiasa eee !!Hii inaonesha tunaanza kukomaa kisiasa.
Ndugai Hana akili hiyo. Ndani kabisa ya Moyo wake ndugai anajijua yeye Ni mtu mdogo Sana na yupo hapo alipo kwa kubebwa tu.ndugai wala hajaomba msamaha bali kacheza na akili za watu tu, muda ni mwalimu mzuri utajibu.
Nape aliomba msamaha mkampondaaa.. sasa spika na nape nani mshindi leo.Nampongeza spika kwa kuomba msamaha badala ya utamaduni wa kulaumu. Hii ni hatua nzuri hasa kwa wale viongozi wenyewe upungufu wa kuwa na hasira za haraka kama spika. Badala ya kukuza hili jambo tulimalize
Spika kukosoa ni muhimu lakini huu ni mkopo mzuri sana miaka 20 bila riba!. Mkopo mbaya ni ule wa treni $1.5 B kwa miaka 6 na riba ya 8% huu sio mkopo mzuri kabisa. Muda sio mzuri lakini riba ingetakiwa isizidi 5% .
Mgonjwa kapona
😂😂😂Spika wa Bunge , kiongozi wa Muhimili wa dola kulia lia hadharani kuomba asamehewe kwenu ni dalili za kukomaa kisiasa eee !!
Dawa ya meno kubwa ni sh 4000 kwa sasa kutoka sh 3000.
Hatujui tunaenda wapi wakubwa...
Wamechana mkeka wangu aisee
Eeeh eee kumbe!Mtanange mpya, Gwajiboy vs Subwoofer...
Njaa haina baunsa mkuu ujoka.Kuomba msamaha ni unyonge sifa kuu ya mwanaume ni kudinda