Sasa mkubwa unanitafuta ugomvi, hivi mimi nafaa kukaa meza moja na hao waheshimiwa hapo chini!! ha ha ha h..hivi mama samia atakuwa anahutubia taifa kila siku ya ijumaa akienda kuswali msikitini?
..au kuitisha michango kwa ndugu zetu Waislamu kwa ajili ya ujenzi wa makanisa?
..nashauri mama samia afanikishe ujenzi wa kanisa kubwa afrika mashariki ili " kung'arisha " legacy yake.
Cc THE BIG SHOW , Nguruvi3, Ritz
Vunja bunge, tuone nani atarudi. Na sis tutafutarishwa lini?Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
Angalieni futari hiyo isijegeuka vilio bungeni, si mnajua mama ni mtaalamu wa lugha?Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
Kutumia nyumba za ibada kwa mambo ya kisiasa hakuepukiki ustaadh!Sasa mkubwa unanitafuta ugomvi, hivi mimi nafaa kukaa meza moja na hao waheshimiwa hapo chini!! ha ha ha h
Kama kuna ushahidi wa jinsi gani Mwendazake alivuruga utamaduni , mila na desturi zetu ni hili la hotuba.
Ilikuwa kama taboo kwa viongozi wa nchi kutoa hotuba zao katika nyumba za ibada.
Mwendazake alitumia makanisa kueleza mambo ya kitaifa. Hili tu lilitosha kuligawa Taifa
Ukizingatia teuzi zake ziliwatupa hazikujali uwiano wa dini kuna kila sababu ya kuamini alikuwa mdini sana
Namshauri sana Mh Rais Samia akemee viongozi kutumia nyumba za dini kama alivyoanza VP
Msemo huu ni zao la unyumbuaji wa neno Dema - yaani tembea taratibu kama mtoto anaejifunza kutembea au chopeachopea - pepesuka hivi... Kwenye uchezaji ngoma kunahali ya kucheza kwa madaha unadem.eka nadhani umeelewa.Hivi maana ya huu msemo ni nini?
MmhSpika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
Absolutely trueGharama za hizi futari huwa analipa kwa mshahara wake au kwa salio Ikulu?
Kama kwa mshahara wake anapata thawabu.
Kama kwa tozo za serikali basi I we inasomeka Ikulu/Serikali imeandaa futari.