Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Nilivyo muelewa ndugai japo kwa ufupi,mkulima ni magufuli na nyani ni wapinzani,kitathmini ndugai hana imani na rais Samia suluhu,full stop
 
Huyu jamaa aendelee kucheza na COVID-19; amesahau alivyokuwa kanyonyoka nywele na mapunye kichwani..

COVID-19 inawapenda sana watu wa sampuli hizi.

Namshauri tu akae kimya!! Atubu!! Mungu wetu yupo kazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom