Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amezidi kumuonya mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa kauli zake za kudhalilisha Mhimili wa Bunge na kumwambia kuwa anao uwezo wa kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge.

"Nimwambie Zitto hawezi pambana na Spika, nina uwezo kumzuia kuongea hadi mwisho wa ubunge wake na asiende kokote", alisema Ndugai.
mzuie tuone
 
Back
Top Bottom