Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa. Miradi ambayo haijakamilika ingemalizwa kwa pesa gani?

Tozo ililetwa kwaajili ya kujenga madarasa, barabara, hospitali nk

Tumeenda kukopa hela kwaajili ya kujengea madarasa, sasa pesa ya tozo inaenda wapi?inafanya kazi gani?

Hili swali ni kama halina majibu mpaka sasa.
Wakikujibu hili jambo basi nitag.
 
Kujenga miradi mikubwa na kuiacha ni sawa na kuhujumu Uchumi wa Nchi.

Kuiendeleza kwa fedha za ndani pasipo vyanzo vipya vya mapato ni kudidimiza Uchumi lakini pia tutachukua muda mrefu kukamilisha miradi hivyo kupelekea kuongezeka kwa gharama za ukarabati.

Kukopa ili tujenge kwa muda mfupi kutawezesha kutokuathirika kwa Uchumi lakini pia kupatikana kwa thamani halisi ya fedha lakini pia kukuza haraka Uchumi wakati wa uendeshaji/uzalishaji.

Ili tuendelee kama Taifa, ni vema masuala yanayohusu/yanayohitaji taaluma au tafiti yapate consent ya wenye taaluma husika kabla ya kutumiwa na wanasiasa.
Suluhisho la miradi iliyokwama sio kukimbilia kukopa ili kukamilisha, suluhisho kamili liko kwenye hatua tatu kuu:

1. Kufanya upya upembuzi yakinifu wa gharama na muda.(huenda tukagundua mapungufu ya kimsingi ambayo yalifichwa kabla ya kuanza hiyo miradi)

2. Kuchambua upya faida ya hiyo miradi ikiwa itakamilika. (Ipo miradi hata ikikamilika leo bado haitaleta faida zaidi ya hasara kwa taifa, kwa mfano ununuzi wa ndege, uboreshaji wa Dodoma kuwa jiji, ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino nk)

3. Kuikamilisha kwa mtindo wa kuishirikisha sekta binafsi (PPR)
 
Kujenga miradi mikubwa na kuiacha ni sawa na kuhujumu Uchumi wa Nchi.

Kuiendeleza kwa fedha za ndani pasipo vyanzo vipya vya mapato ni kudidimiza Uchumi lakini pia tutachukua muda mrefu kukamilisha miradi hivyo kupelekea kuongezeka kwa gharama za ukarabati.

Kukopa ili tujenge kwa muda mfupi kutawezesha kutokuathirika kwa Uchumi lakini pia kupatikana kwa thamani halisi ya fedha lakini pia kukuza haraka Uchumi wakati wa uendeshaji/uzalishaji.

Ili tuendelee kama Taifa, ni vema masuala yanayohusu/yanayohitaji taaluma au tafiti yapate consent ya wenye taaluma husika kabla ya kutumiwa na wanasiasa.
Suluhisho la miradi iliyokwama sio kukimbilia kukopa ili kukamilisha, suluhisho kamili liko kwenye hatua tatu kuu:

1. Kufanya upya upembuzi yakinifu wa gharama na muda.(huenda tukagundua mapungufu ya kimsingi ambayo yalifichwa kabla ya kuanza hiyo miradi)

2. Kuchambua upya faida ya hiyo miradi ikiwa itakamilika. (Ipo miradi hata ikikamilika leo bado haitaleta faida zaidi ya hasara kwa taifa, kwa mfano ununuzi wa ndege, uboreshaji wa Dodoma kuwa jiji, ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwinonk)

3. Kuikamilisha kwa mtindo wa kuishirikisha sekta binafsi (PPR)
 
Suluhisho la miradi iliyokwama sio kukimbilia kukopa ili kukamilisha, suluhisho kamili liko kwenye hatua tatu kuu:

1. Kufanya upya upembuzi yakinifu wa gharama na muda.(huenda tukagundua mapungufu ya kimsingi ambayo yalifichwa kabla ya kuanza hiyo miradi)

2. Kuchambua upya faida ya hiyo miradi ikiwa itakamilika. (Ipo miradi hata ikikamilika leo bado haitaleta faida zaidi ya hasara kwa taifa, kwa mfano ununuzi wa ndege, uboreshaji wa Dodoma kuwa jiji, ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwinonk)

3. Kuikamilisha kwa mtindo wa kuishirikisha sekta binafsi (PPR)
Bado hakuondoi kukopa.
1,2,3 ni hoja safi sana.
 
... kimsing SSH kwa sehemu kubwa anakopa angalau kusogeza miradi ya Mwendazake. Pamoja na poor planning na priorities haina maana kuiachia katikati ni hasara kubwa sana kwa taifa. Madeni yote ya Mama yanapaswa kuingia kwenye akaunti ya Mwendazake; kumlaumu SSH kwa issue ya madeni ni kumwonea.

Serikali ni ile ile ; walipokuwa wanaamua kuwekeza kwenye hii miradi alikuwepo kama makamu wa Rais; na hivyo ndio maana akasema KAZI IENDELEE kwani anajua inakotoka na imalizike na mbinu gani! Ndio maana ya dhana ya COLLECTIVE RESPONSIBILITY.
 
Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa wa kisiasa , alikuwepo bega kwa bega pembeni ya mwendazake akiwahutubia wananchi kwenye mikutano akiwaambia wananchi kwamba miradi yote hiii mikubwa inajengwa na pesa zetu za ndani.

Wananchi walikuwa wanapiga makofi na Ndugai mwenyewe anapiga makofi. Ni kweli pasipo shaka kwamba kwenye utawala wa awamu ya 5 kulikuwa na miradi mikubwa mingi sana kupita uwezo wetu na kiasi cha kutuelemea, SGR Mwalimu HYDRO ELECTRIC POWER, Flyover new SALANDER BRIDGE na mingine mingi ambayo sikuilezea hapa.

SGR imesimama hakuna hela, Mwalimu Hydro electric power iimesimama hakuna hela.

Je, hi miradi ingemalizwa kwa pesa gani?
Mshenzi mkubwa wewe, Rufiji imesimama kwa sababu hatuna pesa ya crane la tani 26?!!! Mbwa kenge wewe!!!
 
Wewe uliyeielewa ni wapi wameandika kuna fedha za SGR au Bwawa la Nyerere kwenye huo mkopo? Sehemu kubwa ya mkopo inakwenda kujenga Madarasa na Madawati.
Haya onyesha fedha za SGR na Bwawa la Nyerere ziko wapi ?

500 Million USD - primary education; 150 million dollars - land tenure improvement; 500 million Dollars - secondary education; 117 million dollars - Zanzibar Energy sector; 425 million dollars - Zanzibar Higher education; 150 million dollars - growth for Zanzibar; 300 million dollars- social economic activities; 150 million dollars- digital Tanzania;
Growth for znz ndio nn sasa?
 
NDUGAI kuna uwezekano kabisa ni BABA YAKE SABAYA revenue collector wa jiwe, anataka tuone umuhimu wa ukusanyaji mapato kwa KABARI.
 
Back
Top Bottom