change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 694
- 1,463
Wewe ndio mtanzania?Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Wewe ndio mtanzania?Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Alikuwa mwika anasoma mambo ya wanyama poriwakati ulimwengu yupo kwenye siasa tena mbunge Ndugai alikuwa hajulikani na asilimia kubwa ya watanzania
Nakubaliana na wewe, lakini huwezi kumlalamikia Ndugai, halafu ukaridhika na waliomuweka hapo alipo kwa sababu zao wazijuazo wenyewe, huku wakijua ni mtu asiye sifa za uongozi.Bila hiyana kabisa uwe upinzani, uwe CCM au usiyekua na Chama hebu sema toka moyoni mwako, Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ana msaada gani katika taifa hili? Amefanya kipi ambacho mtu unaweza kusema ni Unique na cha pekee kulivusha taifa hili?
Katika kipindi chake chote tumeona tumeona tumia tumia ya ya wapinzani bungeni, kuwavua wabunge nyadhifa zao bila kufuata kanuni, kuongozwa na jazba,Wivu, maneno makali yaliyojaa vitisho kwa baadhi ya watu wanaomkosoa kwa matendo yake. Bunge lenyewe siyo live ni kama vile lipo gizani wananchi hawajui kama linaendelea.
Mpaka sasa kwenye bunge la Ndungai kuna wabunge 19 wasiokua na chama cha siasa kinyume kabisa na na sheria na katiba ya nchi wanatafuna pesa za walipa kodi bila sababu na anawatetea, huu ni spika wa aina gani? Ana manufaa gani katika taifa?
Tumeona katika bunge la Marehemu Samwel Sitta na Mama Anne Makinda mabunge yao litawaliwa na demokrasia,busara na hekima, ushirikiano mkubwa baina ya wabunge wa chama tawala na upinzani, walikua na maneno ya kistaarabu yaliyojaa utu.
Wakati wa maspika hawa mianya mingi ya Rushwa na ufisadi viliibuliwa kama vile IPTL, RICHMOND na ESCROW. Bunge lilikua live,Tuliona wabunge walivyoismamia na kuiwajibisha serikali katika kipindi hicho na ndiyo maana kulikua na reflection kubwa ya ukuaji wa uchumi na maisha halisi ya watu. Hii ndiyo Uniqueness yao kubwa katika kipindi chako na kwa namna moja au nyingine walilitendea makuu taifa leo tofauti na huyu mzee wa vitisho.
Ni bora ukaficha Upumbavu wako kwa kukaa kimya. Unaniuliza swali hilo linaihusu mimi?Kwani wewe una msaada gani
Yawezekana CCM ya enzi za kina Sitta na Makinda ilikua imara na ahueni kidogo kuliko hii iliyoundwa na MwendazakeNakubaliana na wewe, lakini huwezi kumlalamikia Ndugai, halafu ukaridhika na waliomuweka hapo alipo kwa sababu zao wazijuazo wenyewe, huku wakijua ni mtu asiye sifa za uongozi.
Wabunge (wa kuteuliwa), si walipiga kura?
Chama, CCM hakikuwa na mkono wake katika uteuzi wa huyu zuzu?
Kwa hiyo, tukiwa tunamlalamikia mhusika, tusisahau kwamba yupo hapo/kawekwa hapo kwa sababu maalum, vinginevyo asingeweza kuwa hapo alipo.
Tuanpotafuta tatizo lilipo ili tuondoe hilo tatizo, haisaidii chochote kujifanya tatizo ni nani kaliweka hapo.
What a silly response! You teen I bet you are in wrong arena, this one is for mature people ! Go out of here!!Kwani wewe una msaada gani
Kama unaona ni la kipumbavu ungekaa kimya usilijibu badala ya kushambulia mleta mada. Huna ujualo unahangaika tuKwani wewe hukujiona kama ni kiazi mpaka ukauliza swali la kipumbavu kama hili nyumbu
Ukiambiwa huna akili ni stahiki yakoI think you are one of those mules
Tafuta kitabu au filamu ANIMAL FARM (Shamba la wanyama) kama kilivyotafsiriwa na Mwalimu Julius K. Nyerere humo utapata majibu yote kuanzia nia ya kudai Uhuru mpaka tulipofikia hivi sasa tukiwa hoi.Bila hiyana kabisa uwe upinzani, uwe CCM au usiyekua na Chama hebu sema toka moyoni mwako, Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ana msaada gani katika taifa hili? Amefanya kipi ambacho mtu unaweza kusema ni Unique na cha pekee kulivusha taifa hili?
Katika kipindi chake chote tumeona tumeona tumia tumia ya ya wapinzani bungeni, kuwavua wabunge nyadhifa zao bila kufuata kanuni, kuongozwa na jazba,Wivu, maneno makali yaliyojaa vitisho kwa baadhi ya watu wanaomkosoa kwa matendo yake. Bunge lenyewe siyo live ni kama vile lipo gizani wananchi hawajui kama linaendelea.
Mpaka sasa kwenye bunge la Ndungai kuna wabunge 19 wasiokua na chama cha siasa kinyume kabisa na na sheria na katiba ya nchi wanatafuna pesa za walipa kodi bila sababu na anawatetea, huu ni spika wa aina gani? Ana manufaa gani katika taifa?
Tumeona katika bunge la Marehemu Samwel Sitta na Mama Anne Makinda mabunge yao litawaliwa na demokrasia,busara na hekima, ushirikiano mkubwa baina ya wabunge wa chama tawala na upinzani, walikua na maneno ya kistaarabu yaliyojaa utu.
Wakati wa maspika hawa mianya mingi ya Rushwa na ufisadi viliibuliwa kama vile IPTL, RICHMOND na ESCROW. Bunge lilikua live,Tuliona wabunge walivyoismamia na kuiwajibisha serikali katika kipindi hicho na ndiyo maana kulikua na reflection kubwa ya ukuaji wa uchumi na maisha halisi ya watu. Hii ndiyo Uniqueness yao kubwa katika kipindi chako na kwa namna moja au nyingine walilitendea makuu taifa leo tofauti na huyu mzee wa vitisho.
Nina uwezo wa kubadili chakula kuwa mbolea.Kwani wewe una msaada gani
John Heche (@HecheJohn) Tweeted:Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa Bunge. Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo, ila anasema watapambana naye ndani na nje.
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike naye ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" Spika Ndugai
“Huyu mzee hivi karibuni amekuwa akiropoka ropoka sana...” - Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, akitoa onyo aliloliita la mwisho kwa mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu na kumtaka kuacha tabia ya kukashfu watu na kuzivunjia heshima taasisi mbalimbali na kulidharau Bunge.
Pia soma: Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu
View attachment 2007798