Spika Ndugai: Mzozo kati ya Bunge na CAG ni wa muda tu, ila siwezi kusema utamalizika lini

Ndugai ni mpumbavu kabisa.Kama kuna jambo analiona haliendi vizuri katika ofisi ya CAG ni vizuri akaliweka wazi kama mwenzake CAG alivyofanya.
Ni ushenzi,ulimbukeni,unafiki, na ni ujinga kufanya ofisi ya umma kama mali ya mamake.
 
Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA.

Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda kushawishi nchi wahisani ziinyime misaada Tanzania!
Lisu anasahau kuwa Tanzania ikinyimwa misaada hata wananchi wake waliompigia kura kule Singida nao watakufa njaa vibaya sana.
Lisu amepigwa risasi na kikundi kidogo cha watu lakini anahukumu taifa zima wakiwemo wapiga kura wake wa Singida nao waisome namba eti kisa tu yeye alishambuliwa kwa risasi!! Hivi Tanzania aliyepigwa risasi ni Lisu tu??

Hata hivyo pamoja na nia ovu ya Lisu bado Mungu yupo pamoja na watanzania baada ya ziara ya Lisu kupuuzwa na vyombo vya habari vya kimataifa vikiwemo vya hao wazungu aliokimbilia kwenda kujipendekeza kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikundi kidogo kinafanya kazi kwa kutumwa na serikali. Hii ndiyo sababu mpaka sasa kikundi kidogo cha watu hakijakamatwa wala hakuna taarifa zozote kuhusu uhalifu huo. Usipotoshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG hukabidhi ripoti za ukaguzi Wake kwa Rais ambaye huzipeleka kwa wananchi kupitia BUNGE.
Sasa Spika Ndugai anao ubavu wa kisheria wa kukataa kujadili ripoti ya CAG Assad iliyoletwa kwake na Rais Magufuli?!
 
Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA.

Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda kushawishi nchi wahisani ziinyime misaada Tanzania!
Lisu anasahau kuwa Tanzania ikinyimwa misaada hata wananchi wake waliompigia kura kule Singida nao watakufa njaa vibaya sana.
Lisu amepigwa risasi na kikundi kidogo cha watu lakini anahukumu taifa zima wakiwemo wapiga kura wake wa Singida nao waisome namba eti kisa tu yeye alishambuliwa kwa risasi!! Hivi Tanzania aliyepigwa risasi ni Lisu tu??

Hata hivyo pamoja na nia ovu ya Lisu bado Mungu yupo pamoja na watanzania baada ya ziara ya Lisu kupuuzwa na vyombo vya habari vya kimataifa vikiwemo vya hao wazungu aliokimbilia kwenda kujipendekeza kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mabeberu si tulisema hatuhitaji misaada yao kwani tatizo liko wapi tukinyimwa misaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom