Spika Ndugai: Mimi naijua dini vizuri namshauri askofu wangu kule Uingereza, nimesali kwa TB Joshua na naenda sana Israel

Sakata la Waheshimiwa Jerry Silaa na Spika Job Ndungali limefanya ambao hatukujua Wabunge wana posho ya madereva tukajua.

Huo mshahara wa madereva utakuta Spika, Mawaziri, NW nao wanachukua huku wakiwa wanapewa usafiri na madereva wa serikalini na bungeni. Wakiajiri dereva ni matumizi ya kudurufu tu. Hao madereva wanao ajiriwa na wabunge mishahara yao inakatwa payee? Bunge ama serikali wanautaratibu wa kufuatilia kujua mishahara hii ya madereva inatumika ipasavyo na wanalipwa sawasawa na kukatwa payee, mafao ya Uzeeni yana heshimiwa?
Kuna umuhimu CAG kufanya uchunguzi na ukaguzi wa matumizi ya fedha ya Wabunge, tofauti na mishahara, kama inatumika ilivyokusudiwa. Ni fedha ambayo inapaswa kufanyiwa marejesho ili uhakiki ufanyike
 
Uzao wa nyoka utawajuwa tu lazima wajidhihirishe kwa matendo yao
 
Niliona clip yake hiyo akiongea hayo maneno ya kuijua dini nikaachananayo.
Kwa spika wabunge kuongeamaneno kama ya mipasho hivi mi naihurumia sana nchi yangu,
 
Huyo mtu sijui alifikaje hapo alipo

Aisee intelligence yake ina walakini sana
 
Spika Ndugai amesema askofu Gwajima asijione kwamba yeye ndio anaijua sana dini kwani wengi wanajua dini lakini wako kimya.

Ndugai amesema yeye mwenyewe amewahi kuwa mshauri wa askofu mkuu wa Anglican duniani pale Uingereza
Kadhalika amesali kwa TB Joshua kwa muda mrefu na sasa huwa anaenda Israel mara kwa mara na juzi kati alikuwa huko na Mwalimu Mwakasege

Source TBC
Ndugai anamchafua Mwalimu Mwakasege
 
Nimemkumbuka hayati/mwendazake katika siku zake za mwisho mwisho, akiwa madhabahuni,St Peter's,kuwa siku inayo masaa 48.
Wengi wakaanza kuhoji afya yake, .....haukuonekana tena Kanisani akiwa,hadi mwili wake ulipoletwa......
 
Maskini Tanzania yangu! Pole sana nchi yangu, inaumiza muno na inasikitisha sana; basi tu!
 
Spika Ndugai amesema askofu Gwajima asijione kwamba yeye ndio anaijua sana dini kwani wengi wanajua dini lakini wako kimya.

Ndugai amesema yeye mwenyewe amewahi kuwa mshauri wa askofu mkuu wa Anglican duniani pale Uingereza
Kadhalika amesali kwa TB Joshua kwa muda mrefu na sasa huwa anaenda Israel mara kwa mara na juzi kati alikuwa huko na Mwalimu Mwakasege

Source TBC
Dahh aisee nilkua ninaona aibu mimi
 
Hivi kwenda kwa TB Joshua na Jerusalem ndiyo kujua dini? Huyu bwana hajui kuwa kuna watu wamezaliwa na kufia Jerusalem na hawajui hata mstari miwili ya biblia?

Ingawa sikubaliani na Askofu Rashid, Hawa Jamaa kwa jinsi wanavyomshambulia wana lao jambo.
 
Back
Top Bottom