Spika Ndugai: Mbunge atakayekataa kupitisha bajeti ni mpuuzi

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Spika wa bunge la jamhuri ya Tanzania Job Ndugai amesema kuwa mbunge yeyote akatakaye piga kura ya siooooh ili bajeti ya serkali isipite ni mpuuzi.

Amesema kuwa kwa jinsi serkal ya awamu ya Tano inafanya mambo makubwa kukataa kupitisha bajeti ni upuuzi

State agent

Chanzo mwananchi
Screenshot_2019-11-22-17-41-58.jpeg
 
Hivi toka atoke India kuna uchunguzi wowote wa kitabibu umepata kufanywa kwa Ndugai?
Usikute ile gharama kubwa ya matibabu Bil 12 ilihusisha transplant ya brain na wakaweka wa ng'ombe kwa vile wahindi wanamuabudu ng'ombe!?
Maana toka Uhuru nchi haijapata balaa LA kuwa na Spika wa aina hii.
Au ndio tumelaaniwa? Maana kule juu ukijaribu kugusa kila mahali unakutana na mzigo!
 
Lazma aimbe na kusifu maana kumbukumbu ya soko kuitwa jina lake...
 
Hivi toka atoke India kuna uchunguzi wowote wa kitabibu umepata kufanywa kwa Ndugai?
Usikute ile gharama kubwa ya matibabu Bil 12 ilihusisha transplant ya brain na wakaweka wa ng'ombe kwa vile wahindi wanamuabudu ng'ombe!?
Maana toka Uhuru nchi haijapata balaa LA kuwa na Spika wa aina hii.
Au ndio tumelaaniwa? Maana kule juu ukijaribu kugusa kila mahali unakutana na mzigo!
Tatizo linaanzia hapa: retrovirus replication
1574437006146.png
 
Spika wa bunge la jamhuri ya Tanzania Job Ndugai amesema kuwa mbunge yeyote akatakaye piga kura ya siooooh ili bajeti ya serkali isipite ni mpuuzi.

Amesema kuwa kwa jinsi serkal ya awamu ya Tano inafanya mambo makubwa kukataa kupitisha bajeti ni upuuzi

State agent

Chanzo mwananchi
View attachment 1269270
Ndugai ni kichaa. Tumpuuze.
 
Back
Top Bottom