Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Ndugai anasumbuliwa na personal issues zenye mwelekeo wa INFERIORITY COMPLEX tangu enzi za KIBAHA SEKONDARI ambapo Mbowe na vijana wengine wa vi-GOGO wakiwa wameletwa kusoma pale kimbeleko-mbeleko vile. I was there, A level miaka ilee.

Nakumbuka sana aina flani ya CAVEMEN WALOKUBUHU ambao Kibaha iliwatesa mno. They hated aina ya kina Mbowe, Maswanya, Nkembo .... et al!

Kwake yeye kuupata UBUNGE na baadae USPIKA ni purely demographical, a very opportunistic tribal opening! Angegombea kwingineko asingepata hata nusu kura! Anavyojibaraguza sasa!
 
Ripoti ya CAG ina makosa mfano kujua kama ATCL imepata faida au hasara CAG alitakiwa achukue hiyo bilioni 60 loss ya kwenye vitabu atoe pesa ambayo ATCL ilitoa gawio yaani dividend kwa serikali halafu atoe Kodi zote ambazo ATCL imelipa kwa seikali kuanzia VAT za tiketi za ndege ambazo kila abiria hulipa na kodi zingine zote ATCL imelipa nk

Hiyo hasara ya bilioni 60 CAG alikose A compute upya.
 
Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo

Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya Mdhibiti na Mkuguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne badala ya mkutano wa tano, kwa kuwa inapotoshwa.

Akizungumza leo Jumatatu Aprili 12 2021, Ndugai huku akimtaja Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwepo upotoshaji wa ripoti hiyo.

Kauli ya Spika imekuja siku moja baada ya Mbowe kuhutubia kupitia mitandao ya jamii, ambapo pamoja na mambo mengine alilituhumu Bunge kwa vitendo vya rushwa.

“Watu wanabeba tu mabilioni yameibiwa sasa huyo rafiki yangu Freeman Mbowe alikuwa Ulaya huko sasa katumwa na watu wake huko anapotosha mambo,” amesema.

Amesema sio watu wengi wenye uelewa wa kuchambua taarifa za kihasibu na hivyo kunaweza kukawa na ujenzi wa kituo cha afya wa Sh 500milioni lakini Sh 499milioni zimetumika vizuri kabisa.

Hata hivyo, amesema lakini kati ya fedha hizo Sh1milioni ikikosa kiambatanisho fulani ni kawaida wakaguzi wanahoji fungu zima la Sh 500milioni.

Amesema kwa hiyo unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti.

Amesema kamati hizo zitaanza mapema kuchambua ripoti hizo ili waangalie ratiba yao na kuwaelimisha watu kuhusiana na ripoti ya CAG ambayo ni taarifa nzuri lakini baadhi ya watu wanabeba na kupotosha tu.

Mwananchi
Lakini report hizo huzo za CAG kuna wakati zimewatumbua watu!
 
Nitagoma😂😂😂😂 hebu ngoja nimuulize kajala na bintie kama wamepata chanjo kabla ya kula bata dubai
Na ndiyo huku nampango wa kukupeleka tucheze kwenye michanga.
Hebu muulize aisee nisijenikachoma pesa yangu ya tiketi bure kabisa.
 
Hakika sipati picha kwanini kuna baadhi ya Watu wanajaribu kutumia mpaka Nguvu zao zote kupinga Ripoti ya CAG .CAG ni Mteule wa Hayati Magufuli,Hayati Magufuli alimwamini CAG ndio maana Akamteua leo iweje mpinge Utendaji wa CAG aliyeteuliwa na Hayati Magufuli? Mnavyomwamini Hayati Magufuli kwa Utendaji Wake basi Muaminini na CAG kwa Ripoti yake Acheni Unafiki .CAG ameripoti kile Alichokagua na kuelezwa na Watendaji Wenyewe.Ripoti ya CAG iheshimiwe na ndio Sababu Rais Wetu Ameipokea.
Ninachokiona kwenye Ripoti hizi kunaitaji wataalam kidogo kuziweka sawa, sometime kunakuwa na mkanganyiko kidogo kwenye taarifa ya CAG inakuwa haiwekwi wazi.

Mfano:- Unaposikia fedha zilitumika nje ya bajeti iliyopitishwa au hazipo.. Tunajua Hayati muda mwingine alikuwa anasitisha shughuli kama sherehe za Uhuru na akaelekeza ile pesa labda ikajengwe Hospital ya Uhuru pale Dodoma, Bajeti ilikuwa inasema hela itatumika kwenye Sherehe za Uhuru lakini Mzee akaamua kusitisha Sherehe hizo iyo pesa ikajenge Hospital..!! Hajafanya vibaya lakini uo ndo mwisho wa CAG na ndio maana kuna PAC na LAAC wao ndo wanakuja kusawazisha sehemu kama hizo kuwa japo pesa ilibadilishiwa matumizi nje ya Bajeti lakini haikutumika vibaya.
 
Ndugai anasumbuliwa na INFERIORITY COMPLEX tangu enzi za KIBAHA SEKONDARI, Mbowe na vijana wa vi-GOGO wakiwa wameletwa kusoma pale kimbeleko mbeleko vile. I was there, A level miaka ilee.
Kwake yeye kuupata UBUNGE na baadae USPIKA ni purely demographical, aMATONYA product! Angegombea kwingineko asingepata hata nusu kura! Anavyojibaraguza sasa ni typical kwa kimo cha saizi hiyo.
Well said!! How Did Mbowe Score Final Exams??
 
Muulizeni spaka mshahara wa Mbowe alikuwa anaweka wapi.

Waambieni wageuke tuongee tu lugha moja au anatamani kwenda kuwa msaidizi wa kiranja wa malaika.
 
Huyu mzee sijui alikosewa nini na Mbowe?

Kuna uwezekano ni chuki za kuzidiwa mawe
 
Job atakuwa na matatizo si buree....Mbowe katika hutoba yake hakuongelea kabisaa mambo ya CAG.....au kamchanganya na Zitto.......

halafu hii tabia ya kuona wanaokosoa wameambiwa na Wazungu inatupeleka kubaya kama taifa...yaani viongozi mnaona wananchi ni mabwege hawawezi kuhoji mpaka wazungu wawatume?????
 
Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo

Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya Mdhibiti na Mkuguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne badala ya mkutano wa tano, kwa kuwa inapotoshwa.

Akizungumza leo Jumatatu Aprili 12 2021, Ndugai huku akimtaja Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwepo upotoshaji wa ripoti hiyo.

Kauli ya Spika imekuja siku moja baada ya Mbowe kuhutubia kupitia mitandao ya jamii, ambapo pamoja na mambo mengine alilituhumu Bunge kwa vitendo vya rushwa.

“Watu wanabeba tu mabilioni yameibiwa sasa huyo rafiki yangu Freeman Mbowe alikuwa Ulaya huko sasa katumwa na watu wake huko anapotosha mambo,” amesema.

Amesema sio watu wengi wenye uelewa wa kuchambua taarifa za kihasibu na hivyo kunaweza kukawa na ujenzi wa kituo cha afya wa Sh 500milioni lakini Sh 499milioni zimetumika vizuri kabisa.

Hata hivyo, amesema lakini kati ya fedha hizo Sh1milioni ikikosa kiambatanisho fulani ni kawaida wakaguzi wanahoji fungu zima la Sh 500milioni.

Amesema kwa hiyo unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti.

Amesema kamati hizo zitaanza mapema kuchambua ripoti hizo ili waangalie ratiba yao na kuwaelimisha watu kuhusiana na ripoti ya CAG ambayo ni taarifa nzuri lakini baadhi ya watu wanabeba na kupotosha tu.

Mwananchi
Hoja zimeelekezwa kwa serikali au taasisi husika. Ndugai asiwajibie.
 
Kwa hiyo yeye anahalalisha wizi wa milioni moja?
 
Nimesikiliza na kutazama hotuba yote ya @freemanmbowetz sikusikia sehemu yoyote akichambua taarifa ya CAG. Job Ndugai amedata? Kwanini amechanganyikiwa hivi? Anasema Mbowe alichambua taarifa ya CAG baada ya kutumwa na watu wake wa ulaya. Ndugai kachanganya Mbowe na Zitto? Nisaidienui mlio sikiliza Hotuba ya Mbowe.

Face with tears of joy
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Kama wewe ni muhasibu na unaishi kwenye ujinga huu. Basi kazi ipo?
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Kumbe iliandaliwa kwa wazungu? Basi mbowe yuko sahihi!! Mr Mbowe lete ubuyu wajinyee vizuri
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Mama DED wa Bahi analo hakuna ujanja janja tena.
 
Masikio haya bwana; mbona mi sikusikia kabisa kama Mbowe kagusia chochote kuhusu report ya CAG? Nambieni ilikua dakika ya ngapi? Chuki binafsi za Ndugai kwa Mbowe zisitufanye na wengine kuingilia ugomvi wao.
 
Mtu sahihi wa kusema Mbowe amepotosha ripoti ni CAG mwenyewe; Ndugai asubiri kamati zake zifanye kazi ndipo aseme, tofauti na hivyo sidhani kama yeye amesomea uhasibu pia!
 
Back
Top Bottom