warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,466
- 1,256
Ngoja nikuache kama ulivyo, kichaa akikupora msuli usimfukuzie sababu watu watashindwa kutambua nani ni chizi, mtaonekana wote machizi.
Ngoja nikuache kama ulivyo, kichaa akikupora msuli usimfukuzie sababu watu watashindwa kutambua nani ni chizi, mtaonekana wote machizi.
Hahahahaha walahi, chandrama tupa kule walahiKwendraaaaa kijana mdogo usie na aibu, utaolewa tu lazima wewe walahi
Kwa hii tabia yako, lazima umewekwa ndani kimada kajames d kengine walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
naona mgogo kama kampania sana Lissu
Hata ukaribu wa TL na yule mama mstaafu inaeza kua ndo chanzo halis cha bifu laoBifu lao ni la muda mrefu. Nakumbuka siku moja Ndugai akiwa naibu spika, walikuwa kwenye kipima joto cha ITV. Siku hiyo Lisu alimfunika vibaya sana Ndugai, siku hiyo Ndugai alitamani dunia ipasuke immemze. Toka siku hiyo Ndugai ana bifu la hatari na Lissu. Kwa ujumla Ndugai nje ya madaraka ni boya wa kutupa.
Hizi hasira za Ndugai dhidi ya Lissu zinachangiwa zaidi na mitandao, humu mitandaoni Ndugai hafagiliwi kabisa na anapewa maneno yanayomchoma, hivyo kuwakomoa watu wa humu mitandaoni ndio anatumia madaraka yake kumfanyizia Lissu.
Anachokifanya ndizo sifa za wagogo,hajakosea.Huna haja ya kutaja kabila.
Nasiki dugai amekubali kuwa mgeni katika kipindi cha BBc HardTalk!Bifu lao ni la muda mrefu. Nakumbuka siku moja Ndugai akiwa naibu spika, walikuwa kwenye kipima joto cha ITV. Siku hiyo Lisu alimfunika vibaya sana Ndugai, siku hiyo Ndugai alitamani dunia ipasuke immemze. Toka siku hiyo Ndugai ana bifu la hatari na Lissu. Kwa ujumla Ndugai nje ya madaraka ni boya wa kutupa.
Hizi hasira za Ndugai dhidi ya Lissu zinachangiwa zaidi na mitandao, humu mitandaoni Ndugai hafagiliwi kabisa na anapewa maneno yanayomchoma, hivyo kuwakomoa watu wa humu mitandaoni ndio anatumia madaraka yake kumfanyizia Lissu.
Safari hii (******) akienda kutibiwa ulaya ndio atajua athari za maneno yake.TL is no longer his level... Mwambieni atulie
Jr
Nasiki dugai amekubali kuwa mgeni katika kipindi cha BBc HardTalk!
Sio kweli. Taja sifa za kabila lako tuone basi.
Hahahaha
Kabila langu hajawa spika hivyo subiri mmoja wa kabla langu atapokuwa spika nitakwambia kabila languSio kweli. Taja sifa za kabila lako tuone basi.
Unaogopa sio?Kabila langu hajawa spika hivyo subiri mmoja wa kabla langu atapokuwa spika nitakwambia kabila langu
Sent using Jamii Forums mobile app