Spika Ndugai katika Hija Israel akutana na Spika wa Israel

Sheria ipo kwenye katiba lakini spika anajikuta anahaha bure utadhani wabunge Wa ccm hawana meno
 
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA SPIKA BUNGE WA BUNGE LA ISRAEL

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Israel (Knesset) Mhe. Yuli Yole Edelsten wakati Mhe. Spika alipomtembelea Bungeni hapo. Mhe Ndugai yupo nchini Israel kwa ibada ya Hija.(Picha na Ofisi ya Bunge).
Amuulize mwenzake kama anawakandia wapinzani, kama kuna ndioooooooooooooooooooooooo; polisi kuingia bungeni, mbunge kufungiwa vikao vitatu vya bunge, kunyimwa posho etc, etc, etc, etc
 
Mkuu dola 5,000 = 10m, pale jimboni kwake kuna matatizo mengi, kwanini asijenge hata darasa moja?
Hapo sasa unakosea.Spika katoka kwenye mitihani,kumshukuru mungu wake kwa mujibu wa taratibu za imani yake ni muhimu.
Acha apate afya njema atapata tu nguvu ya kujenga darasa
 
Hapo sasa unakosea.Spika katoka kwenye mitihani,kumshukuru mungu wake kwa mujibu wa taratibu za imani yake ni muhimu.
Acha apate afya njema atapata tu nguvu ya kujenga darasa

Mkuu kumshukuru Mungu ukisoma tu biblia na ukatubu dhambi zako zote zinafutwa.
 
Bei ya bunge la tanzaniya ni 10m
Corrupt corrupt corrupt!!!!!
 
Hapo sasa unakosea.Spika katoka kwenye mitihani,kumshukuru mungu wake kwa mujibu wa taratibu za imani yake ni muhimu.
Acha apate afya njema atapata tu nguvu ya kujenga darasa
Tutaona manufaa ya hija yake akikaa kitini kwenye mjengo wa rushwa.
 
Back
Top Bottom