Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 793
- 1,007
Amsalimie mke wa yesu uko kongwa
Amsalimie mke wa yesu uko kongwa
Ila Jamaa Lifala Sana, Ukienda Hapo Jimboni Kwake, Kaweka Taa Mitaani Ila Cha Ajabu Jimbo Halina Hata Stand, Wakati Amekaa Kama Mbunge More than 30yrs nowAshinde kwenye sanduku la kura si kwa kupita bila kupingwa.
Ubunge umempa mafaniko binafsi, ana apartments kama 20 za kupangisha Dodoma. Hii ndiyo legacy anayoiacha Kongwa.Ila Jamaa Lifala Sana, Ukienda Hapo Jimboni Kwake, Kaweka Taa Mitaani Ila Cha Ajabu Jimbo Halina Hata Stand, Wakati Amekaa Kama Mbunge More than 30yrs now
Haukatiki Ni Unafiki Wake Tu. Anaongelea Suala la Kushushwa Kwa Bei Ya Petrol na Diesel Kwa Sababu Yeye ana Kituo Cha Mafuta Pale KibaigwaMikoani umeme kukatika mara 30 au zaidi kwa siku ni kawaida mno na low voltage pia ni janga mikoani na miji midogomidogo ya ndanindani.
Anasema alichaguliwa na watu 400,000Ayubu kule Kongwa hukushinda ki halali.
Na hakukutwkiwa kuwe na umeme.Hawalipi bili.X30? Na yeye bado amekalia kiti tu?
Huo ndio uzuzu wenyewe sasa..Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.
Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!
---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30
“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.
Morogoro kadhalika umeme umebbakia historiaHiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.
Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!
---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30
“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.
Yah yah yah bila kupingwaAnasema alichaguliwa na watu 400,000
Watakuwa mazuzu wenzakeYah yah yah bila kupingwa
Waziri ni Mbunge tumia NGUVU ulizotumia kumfukuza Lissu ubunge mfukuze WaziriHiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.
Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!
---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30
“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.
mchokozi wewe!!Ayubu kule Kongwa hukushinda ki halali.
Bila shaka Ndugai ana nguvu Sana. Baada ya kulalamika tu mama akamtumbua waziri KalemaniWaziri ni Mbunge tumia NGUVU ulizotumia kumfukuza Lissu ubunge mfukuze Waziri
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.
Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!
---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30
“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.
Ajiuzulu ameshindwa kuongoza Bunge katika kuisimamia serikali na haya ndio matokeo yake.