Spika Ndugai: Jimboni kwangu Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku!

Mikoani umeme kukatika mara 30 au zaidi kwa siku ni kawaida mno na low voltage pia ni janga mikoani na miji midogomidogo ya ndanindani.
 
Haukatiki Ni Unafiki Wake Tu. Anaongelea Suala la Kushushwa Kwa Bei Ya Petrol na Diesel Kwa Sababu Yeye ana Kituo Cha Mafuta Pale Kibaigwa
 
Asee kama Spika naye analalamika basi ni hatari hapa nchi ilipofikia, sisi raia wa kawaida ndio tusemeje sasa kama huyu kiongozi ambaye anaongoza muhimili wa kuiwajibisha Serikali naye analialia
 
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.

Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!

---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30

“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.

Huo ndio uzuzu wenyewe sasa..
 
Morogoro kadhalika umeme umebbakia historia
 
Mtanzania mwenzangu ukitaka kujua enzi za old stone age binadamu waliishije nakushauri tembelea hili jimbo.
 
yulee jamaaa wa sukuma gang alikuwa poa kulipo huyuu makamba. labda tuendelee kuteseka tumpe mda. Ila January kaingizwa pale ili watu wapige Kwa tamaa za kuja kuwa raisi.
 
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.

Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!

---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30

“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.

Waziri ni Mbunge tumia NGUVU ulizotumia kumfukuza Lissu ubunge mfukuze Waziri
 
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.

Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!

---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30

“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.

Yeye analalamika kukatika kwa umeme tena huyo ndiye Spika wenzake hata huo umeme hakuna kabisa!!!
 
Ajiuzulu ameshindwa kuongoza Bunge katika kuisimamia serikali na haya ndio matokeo yake.

Kama huko Kongwa umeme unakatika namna hiyo, na hiyo ndio constituency ya Ndugai akiwa spika , je akiondoka kuwa Spika hao jamaa wa Kongwa watapata umeme kweli? Ndugai has failed as a leader!!!
 
Back
Top Bottom