Spika Ndugai: Jimboni kwangu Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku!

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,326
2,000
Ajiuzulu ameshindwa kuongoza Bunge katika kuisimamia serikali na haya ndio matokeo yake.

Kama huko Kongwa umeme unakatika namna hiyo, na hiyo ndio constituency ya Ndugai akiwa spika , je akiondoka kuwa Spika hao jamaa wa Kongwa watapata umeme kweli? Ndugai has failed as a leader!!!
 

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,189
2,000
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.

Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!

---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30

“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.Yeye hajui KONGWA= KONGO (DRC) ni nchi nyingine hiyo🤣
 

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
282
500
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai. Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu! --- KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30 “Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.

2975127_IMG_0898.jpg.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom