Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,251
- 34,198
Hii nchi hii daah!Spika Ndugai amesema January Makamba ana uzoefu wa kutosha katika sekta ya nishati hivyo anategemea atahakikisha petrol haipandi pandi bei ovyo.
Pia, mikataba mingi ilisharekebishwa hivyo anamtaka January asije kuturudisha kwenye ile mikataba ya hovyi hovyo.
Source: TBC