Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

Kwani akina Halima wanalipwa na nani kwa kuwa wabunge wa bunge LA Jamhuri ya Tanzania? Mbona mlipaji halalamiki wanalalamika cdm na kumlaumu spika? Kwani spika anawalipa hela zake kutoka mfukoni mwake? Kumlaumu spika ni kukosa weledi.

Kwanini hamtaki kumuuliza msajili wa vyama, waziri wa Katiba, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya ndani na waziri wa utumishi kwenye hili?

Na kwanini muulizaji awe cdm? Kazi ya cdm iliishia pale ilipoyakataa matokeo na kuwafukuza akina Halima baaaaaaaasi!! Kulikobakia ni mission towns na mbinu za medani za kutafuta maisha za akina Halima baada ya cdm kuyasusia matokeo na hatimae kufukuzwa uwanachama.

Kakojoeni mlale msubiri 2025
Walalamikaji walipaswa kuwa wananchi,, bahati nzuri/mbaya wananchi waliowengi hawana ufahamu na haya mambo. Fedha iliyotumika kuwalipa wabunge wasio halali mpaka sasa ni nyingi ,fedha hii ingeweza kutumika kusolve matatizo mbalimbali hapa nchini ikiwemo uhaba wa madawati kwenye shule zetu.

Zaidi ya ubishi wa kitoto na ujinga ,,,hakuna faida ya serikali kuwalipa hawa hela zote hizo.
 
Kiukweli kabisa, hili la hawa wabunge litaleta shida sana, ni labda tuachane nao au tushinikize maamuzi magumu. Kwasababu hawa wapinzani bungeni wanahitajika ili kutumiza masharti fulani fulani ndio maana wanawang'ang'ania.

Kwahiyo ni either waachwe au bunge livunjwe tufanye uchaguzi upya kupata balance ya upinzani bungeni. Walioiba uchaguzi hawakuwa smart enough kulifikiria hili matokeo yake ni huu mvutano.
Kazi ya Mahela na Mwendazake hiyo......!!
 
Kwani akina Halima wanalipwa na nani kwa kuwa wabunge wa bunge LA Jamhuri ya Tanzania? Mbona mlipaji halalamiki wanalalamika cdm na kumlaumu spika? Kwani spika anawalipa hela zake kutoka mfukoni mwake? Kumlaumu spika ni kukosa weledi.

Kwanini hamtaki kumuuliza msajili wa vyama, waziri wa Katiba, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya ndani na waziri wa utumishi kwenye hili?

Na kwanini muulizaji awe cdm? Kazi ya cdm iliishia pale ilipoyakataa matokeo na kuwafukuza akina Halima baaaaaaaasi!! Kulikobakia ni mission towns na mbinu za medani za kutafuta maisha za akina Halima baada ya cdm kuyasusia matokeo na hatimae kufukuzwa uwanachama.

Kakojoeni mlale msubiri 2025
Ewe, je watambua mie ni baba yako, maoni yangu nimejadiliana na mama yako, una laana wewe!
 
Walalamikaji walipaswa kuwa wananchi,, bahati nzuri/mbaya wananchi waliowengi hawana ufahamu na haya mambo. Fedha iliyotumika kuwalipa wabunge wasio halali mpaka sasa ni nyingi ,fedha hii ingeweza kutumika kusolve matatizo mbalimbali hapa nchini ikiwemo uhaba wa madawati kwenye shule zetu.

Zaidi ya ubishi wa kitoto na ujinga ,,,hakuna faida ya serikali kuwalipa hawa hela zote hizo.
Unafahamu ni hela ngapi walilipwa wabunge waliohamia ccm kwa kisingizio cha kwenda kuunga juhudi? Gharama za chaguzi baada ya kuondoka kwenda kuunga juhudi ni ngapi? Mbona mnaziona hizi za akina Halima tu?
 
Hizo za hao waliohongwa ili kuunga juhudi sina uhakika ndugu yangu.
Lakini kama ni kweli ,,hizo zote ni haramu. Haramu haisafishwi kwa kufanya haramu nyingine.
 
Back
Top Bottom