Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

Umma upi wa watanzania aloushawishi?

Waumini wa kanisani kwake ndio useme Umma wa watanzania?

Mbona hamshangai pombe na sigara kukatazwa waumini wasitumie wakati serikali inakusanya kodi kubwa sana?

Kwanini Chanjo ya Covid 19 kukatazwa kanisani kwa waumini ndio iwe nongwa?
Nadhani umelemewa na usingizi was kutokupambanua

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom