Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

Narudia tena JUHA wacha kujikweza kama vile unanifahamu. Eti mtukufu ndugai ana utukufu gani huyo jizi kubwa lilichota bilioni 28.7 hazina eti za matibabu India? Ni ugonjwa upi huo unatibiwa kwa $12 millions? Acha kuchafua neno utukufu!
Bwashee wewe ni " mbuni" tu usidhani umejificha.

Narudia tena Ndugai amesema akiwafukuza wabunge wa Chadema dunia nzima ikiwemo Ubelgiji watamshangaa hivyo hatowafukuza kamwe.

Nendeni mahakamani !
 
Kwa UFINYU wa akili yako unadhani unanifahamu endelea kujidanganya. Huyo ndugai ni kichaa kama ulivyo wewe. Kwa hiyo kinachotoka mdomoni kwake siku zote hakiingii akilini ila MPUAMBAVU wewe huelewi hilo.




Bwashee wewe ni " mbuni" tu usidhani umejificha.

Narudia tena Ndugai amesema akiwafukuza wabunge wa Chadema dunia nzima ikiwemo Ubelgiji watamshangaa hivyo hatowafukuza kamwe.

Nendeni mahakamani !
 
Kwa UFINYU wa akili yako unadhani unanifahamu endelea kujidanganya. Huyo ndugai ni kichaa kama ulivyo wewe. Kwa hiyo kinachotoka mdomoni kwake siku zote hakiingii akilini ila MPUAMBAVU wewe huelewi hilo.


Hahahaaaa Bwashee wa Mombasa umeshafura!
 
Mimi naona mnatupiana maneno ya kukerana bure tu!

Kwasababu...
Vuta tu picha wale waliposema wana baraka na taratibu zote za chama zimefuatwa halafu kukawa kimyaa (kama vile jibu lilikuwa linaandaliwa yani)

Vuta tena picha kabla hata ya kufukuzwa tayari spika akawahakikishia kuwa angewalinda kwa hali yoyote (kama vile alishaambiwa kifuatacho ni kuwafukuza)

Ukirudi tena wanasema eti hawautambui uchaguzi wa 2020 bali uchafuzi wa 2020 ila bado mamlaka husika zikawa zinawasubiri haohao kwajili ya taratibu zingine kuendelea na kweli wakaja (ni kama vile walishaambiwa kifuatacho)

Rudi tena kwa kaligiz zao ambao ndo walikuwa (au tuseme wana) msimamo mmoja kule "kuvuka maji"... wao hadharani wamegwaya wamekubali (japo kwa maneno mengiii) hivi kama hao jamaa walijitokeza kuelewana sana na hata kushirikishana mipango yao sasa mtaamini vipi kama maamuzi haya siyo ya wote mtu na rafiki yake (kwamba tukubali kuungana na uongozi uliopo ila kwa aina tofauti tofauti)

Rejea maneno ya mwenyekiti isitoshe hao wafukuzwaji maneno yao "tutayamaliza wenyewe ndani" halafu kimyaa (kama vile ndo wanayamaliza huko ndani)

Halafu... kama ni kweli kwanini wasiseme basi "tumefukuzwa tuachie ngazi" halafu waombe kwa unyenyekevu kurudi kundini lakini wao ndo kwanza wapo bize as if hawajafukuzwa (yani kama vile kuna nguvu ya ziada inawaambia msijali tulieni tu)

Rudi tu kwa mambo na matukio mengi utaona kabisa EVERYTHING IS PLANNED na hapa mjinga ni wewe mwananchi tu
 
Wapumbavu mmejazana hapo Ufipa chama kizima mnazidiwa akili na watoto wawili tu wa kike Halima James Mdee na Esther Amos Bulaya.

Chadema ni bure kabisa......wanawake wako bungeni wanaume mnasubiri mkate posho zao za ubunge mlipane mishahara, pambaf kabisa!
Haahaa unasifia ujinga...
 
Speaker anapaswa kupingwa kwa facts. Kuna loophole sehemu flani hivi na CCM wanataka kuitumia vizuri...
Kwa maoni yangu Ile press ni taarifa rasmi kwa umma, kina mdee wakiingia bungeni pia watakuwa wanavunja katiba vilevile
 
Mpuuzi huyu babu hana lolote, hivi leo alikuwa anawaapisha akina Halima tena au mm ndiyo sielewi maana kazungumzia mambo ya akina Halima tena?
Kichekesho ni kwamba hata walioapishwa hawafahamiki wala sio habari, lakini habari ni hao viti maalum waliofukuzwa na cdm!
 
Zitto umeonyesha njia ni kijana mdogo umeyashinda hayo mazee ya Chadema yanahangaika na kunyanyasa wanawake Kisa vyeo duuuuuuuu
 
Back
Top Bottom