Spika Ndugai anatafakari hatua za kumchukulia mbunge Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Spika na Bunge

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Spika wa Bunge anatafakari hatua za kinidhamu atakazomchukulia Mbunge wa Kilombero Mh.Peter Lijuakali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Bunge alizozitoa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari tarehe 17 Machi, 2018.

Kujua ilikotokea, soma Lijualikali amuita Spika na Ofisi yake 'Wahuni'!

IMG_20190318_161652~2.jpg
 
Huyu kama hajapewa likizo ya miaka kadhaa basi anaweza kufutiwa ubunge kwa kigezo cha kumdharau anaeshikilia bunge... Anaweza akafanywa apoteze sifa za kuwa mbunge. Wenye uelewa mzuri kuhusu sheria mtusaidie hii imekaaje maana sasa hivi bungeni hakukaliki kwa amani hasa kwa wabunge wa upinzani...
 
Ndugai baada ya kushindwa hoja kali za Lijuakali anachokitafuta ni aibu ya kuzikwa nayo
 
Kumuita Spika na Bunge wahuni ndiyo hoja?

Acha avune alichopanda.Wazi wanatambua mda wote wanatafutiwa sababu na wao hawakomi kujiingiza kwenye mitego hiyo sasa kwanini wasipewe adhabu wanazozitafuta kwa nguvu?
 
hivi uhuni maana yake nini ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
View attachment 1048305

View attachment 1048306

Ushauri : Ndugai hawa vijana wakikuzidi hoja omba msaada ngazi za juu vinginevyo utadhalilika zaidi
Wasimmiminie risasi tu manake watukufu wanataka kuabudiwa na kusujudiwa tu. Ndio wajue wapo kina TL wengi wakiziba mmoja 100 wanakuja.

Manake watu hawawaogopi tena wanawachana tu, kama jela washakaa sana na kama risasi mshauwaumiza nazo. Tunapoelekea ni kama mbwai ni mbwai tu.

Spika ajifunze kwenda between lines, watu vifua vimewajaa wanatafuta sindano vilipuke tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vingine Bunge na Ndugai wawe wanapotezea tu. Hii kujibishana tit-for-tat ni mambo ya" kimama" sana
 
Back
Top Bottom