Spika Ndugai anatafakari hatua za kumchukulia mbunge Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Spika na Bunge

Waolala bungeni na walio nje ya bunge kwa matatizo ya kifamilia au kuumwa yupi wa kuvuliwa ubunge? Kuna wabunge bungeni hawajawahi kushika speaker
Huyu kama hajapewa likizo ya miaka kadhaa basi anaweza kufutiwa ubunge kwa kigezo cha kumdharau anaeshikilia bunge... Anaweza akafanywa apoteze sifa za kuwa mbunge. Wenye uelewa mzuri kuhusu sheria mtusaidie hii imekaaje maana sasa hivi bungeni hakukaliki kwa amani hasa kwa wabunge wa upinzani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna roho mtakatifu ananishukia anasema mwanangu acha usiandike chochote ila kooni napo panawasha panaka kusema japo jambo.
Eeeee mungu baba wa mbingu na ardhi niokoe mja wako katika huu mtihani niyashinde majaribu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuh MUNGU wa wagogo anafikiria adhabu!!!! Acha tusubiri tuone
Ulevi wa siasa namna hii ni mbaya.
Usilitaje bure jina la MUNGU wako.

Kuna tofauti kubwa kati ya MUNGU na miungu.

Kumuita binadamu MUNGU wa wagogo wakati ina aminiwa MUNGU wa binadamu yeyote kwa imani za wakristo na waislam ni mmoja tu bila kujali kabila ni kukufuru.
 
Inamana hadi atafakari bunge halina kanuni?Haya mambo ya kutafakari wakati utaratibu upo ktk maandishi ndipo panapoleta matatizo.Deus de amor.
 
Wasimmiminie risasi tu manake watukufu wanataka kuabudiwa na kusujudiwa tu. Ndio wajue wapo kina TL wengi wakiziba mmoja 100 wanakuja.

Manake watu hawawaogopi tena wanawachana tu, kama jela washakaa sana na kama risasi mshauwaumiza nazo. Tunapoelekea ni kama mbwai ni mbwai tu.

Spika ajifunze kwenda between lines, watu vifua vimewajaa wanatafuta sindano vilipuke tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za bhange hizi
 
Back
Top Bottom