Spika Ndugai anatafakari hatua za kumchukulia mbunge Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Spika na Bunge

Spika wa bunge Job Yoston Ndugai amesema kuwa atamchukulis hatua mbunge wa Chadema ,Peter Lijualikali kufuatia mbunge huyo kutoa maoni yake jana akipinga spika kumfutia ubunge wake Joshua Nassari .Spika katoa barua ya kusudio la kumchukulia hatua mbunge Peter Lijualikali .
 
Ndugai baada ya kushindwa hoja kali za Lijuakali anachokitafuta ni aibu ya kuzikwa nayo
Hivi kumuita speaker MHUNI ni Hoja?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Nimemsikia Jioni Hii Kwenye kipindi Cha Jahazi akihojiwa Radio Clouds

Kaulizwa Pia Kuhusu Suala la Utoro wa Tundu Lissu kasema ''... Nae anatembelea Kwenye Chaki... Nikitulia nikapiga hesabu zake vyema nae mtaskia habari zake ...'
 
hivi uhuni maana yake nini ?
Speaker ni mhuni?
Screenshot_20190318-181030_Chrome.jpeg

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Nimemsikia Jioni Hii Kwenye kipindi Cha Jahazi akihojiwa Radio Clouds

Kaulizwa Pia Kuhusu Suala la Utoro wa Tundu Lissu kasema ''... Nae anatembelea Kwenye Chaki... Nikitulia nikapiga hesabu zake vyema nae mtaskia habari zake ...'

Ajiandae baada ya uchaguzi 2020, pale mjengone atamkabidhi dada wa Mbeya kiti anachokitumia kuwaadhibu wenziye.
 
Spika wa bunge Job Yoston Ndugai amesema kuwa atamchukulis hatua mbunge wa Chadema ,Peter Lijualikali kufuatia mbunge huyo kutoa maoni yake jana akipinga spika kumfutia ubunge wake Joshua Nassari .Spika katoa barua ya kusudio la kumchukulia hatua mbunge Peter Lijualikali .

Speaker awe makini maana anaweza kupambana na mkono wa Mungu muda simrefu. Kiburi hutangulia maangamivu
 
Spika wa bunge Job Yoston Ndugai amesema kuwa atamchukulis hatua mbunge wa Chadema ,Peter Lijualikali kufuatia mbunge huyo kutoa maoni yake jana akipinga spika kumfutia ubunge wake Joshua Nassari .Spika katoa barua ya kusudio la kumchukulia hatua mbunge Peter Lijualikali .
Pamoja amekwenda mbali sana, at least inaonekana kuna kitu amejifunza kutokana na maoni ya watu kuhusu nidhamu ya Wabunge. Kwa huyu hajakurupuka kama alivyofanya kwa Nassari.
 
Namshauri mzee wangu Spika aachane tu na huyo bwana mdogo. Kifupi ampuuze. Lijualikali is a damaged good. Hawa ni watu wa kuwakokota hadi 2020 ambapo wapiga kura watakuja na maamuzi tofauti...
 
Kwa kweli ni maamuzi mabovu kweli yaani mbunge kutoa maoni yake tu inakuwa kosa ,kwani lazima wabunge wote wakubaliane na mtazamo ,msimamo na maamuzi ya spika ,hii inaonyesha huyu ni spika wa ajabu sana kuwahi kutokea .
 
Back
Top Bottom