Spika Ndugai anatafakari hatua za kumchukulia mbunge Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Spika na Bunge

Lawrich

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
541
1,000
Huyu kama hajapewa likizo ya miaka kadhaa basi anaweza kufutiwa ubunge kwa kigezo cha kumdharau anaeshikilia bunge... Anaweza akafanywa apoteze sifa za kuwa mbunge. Wenye uelewa mzuri kuhusu sheria mtusaidie hii imekaaje maana sasa hivi bungeni hakukaliki kwa amani hasa kwa wabunge wa upinzani...
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
71,658
2,000

Ndugai baada ya kushindwa hoja kali za Lijuakali anachokitafuta ni aibu ya kuzikwa nayo
 
alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Kumuita Spika na Bunge wahuni ndiyo hoja?

Acha avune alichopanda.Wazi wanatambua mda wote wanatafutiwa sababu na wao hawakomi kujiingiza kwenye mitego hiyo sasa kwanini wasipewe adhabu wanazozitafuta kwa nguvu?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
71,658
2,000
Kumuita Spika na Bunge wahuni ndiyo hoja?

Acha avune alichopanda.Wazi wanatambua mda wote wanatafutiwa sababu na wao hawakomi kujiingiza kwenye mitego hiyo sasa kwanini wasipewe adhabu wanazozitafuta kwa nguvu?
hivi uhuni maana yake nini ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,454
2,000
View attachment 1048305

View attachment 1048306

Ushauri : Ndugai hawa vijana wakikuzidi hoja omba msaada ngazi za juu vinginevyo utadhalilika zaidi
Wasimmiminie risasi tu manake watukufu wanataka kuabudiwa na kusujudiwa tu. Ndio wajue wapo kina TL wengi wakiziba mmoja 100 wanakuja.

Manake watu hawawaogopi tena wanawachana tu, kama jela washakaa sana na kama risasi mshauwaumiza nazo. Tunapoelekea ni kama mbwai ni mbwai tu.

Spika ajifunze kwenda between lines, watu vifua vimewajaa wanatafuta sindano vilipuke tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom