Spika Ndugai anaendesha Bunge kwa matakwa yake binafsi na si kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni baada ya Spika kujiridhisha kwamba CCM imefuata taratibu zake and then akaiandikia Tume ya uchaguzi kuitaarifu!
 
Ni baada ya Spika kujiridhisha kwamba CCM imefuata taratibu zake and then akaiandikia Tume ya uchaguzi kuitaarifu!
 
Sherehe ya kunguru, wote ni wala mizoga tuu?
Kupoteza muda kujadili tukio hili ni swa na kumzuia kunguru asile mzoga, eti kwa kuwa leo anasherehe.
Sasa si ndio chkula chake?
Ndunga ni Kada ,na ameamua kupiga siasa badala ya kufuata nidhamu ya Bunge?
Dot wast my time
Well done Chadema!
 
Ndugai dawa zinamzingua
Hapo ndipo utagundua kuwa Kuna chama kipo nyuma ya vitando vya kisaliti walivyofanya hao wabunge wa CHADEMA! Ukweli ni kwamba kwa mbunge yeyote awe wa CDM au CCM , hakuna chombo kikubwa mbele yake kama chama kilichomdhamini! Hivyo watu wanaopotosha kwamba wabunge hao 4 wa CDM wamefukwa sababu ya kuhudhuria bungeni si sahihi, wabunge wamefukuzwa kwa sababu ya kukaidi maagizo ya Chama! Na hapa ushahidi upo mpana sana nitashangaa spika akiwabeba hawa alafu akashinda kesi mahakamani!
 
Mbowe ndie kavuja katiba .Kaxi ya mbunge ni kuhudhuria vikao vya bunge huwezi mwandikia mbunge barua kuwa kakosea kuhudhuria vikao vya bunge hivyo afukuzwe uanachama!!!!!
Mbona msajiili akusema Kama wamekosea Kama wamevunja sheria, vyama vinayaratibu zake zalima zifuatwe, ndo maana point ya mgombea binafsi ikaja ili usifungwe na taratibu za chama
 
Amejifukiza kwa ajili ya kupasua virusi, matokeo yake amepasua mishipa ya fahamu.

Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
chadema wanahubiri demokrasia ambayo HAWAIFUATI..
Ndugai ana matatizo na viongozi wa chadema nao wana matatizo.
TUSIANGALIE UPANDE MMOJA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala hapa ni kuheshimiwa kwa katiba. Lipumba aliwafukuza uanachama wale viti maalum mbona Ndugai hakusema waendelee? Katiba ya nchi ndiyo imeandikwa hivyo.

Kama mnataka wabunge wawe na huo uhuru mnaoutaka basi waambie wana ccm wabadili katiba mgombea binafsi awepo ili wale wanaoona hawawezi kudhibitiwa na vyama vyao wagombee binafsi.
 
Huyu Spika Ndugai nilimshangaa pia alipotamka kuwa Mbunge Mbowe hatarudi kwenye ubunge wake, hapo mwisho wa mwaka baada ya uchaguzi mkuu.

Hivi yeye kama Spika anawezaje kutoa matamshi kama hayo wakati yeye siyo mmoja wa wapiga kura wa jimbo la Hai, analotoka Mheshimiwa Mbowe?
Ngoma ishapangwa iende kwa nani na yeye supika anamjua tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huelewi si ukae kimya? Spika siyo mkaguzi wa katiba za vyama.Maamuzi mengi aliyofanya kabla yanaonyesha amepwaya sana.Halafu huo wema wa wanaccm kuwapigania wabunge wa Chadema umeanza lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye siyo mhimili wa mahakama, hao walioadhibiwa wana haki ya kupeleka Shauri lao mahakamani na watalitolea maamuzi....

Kwa hii hali ya kujifanya yeye ndiyo mahakama na kuviita vikao halali vya Chadema vilivyofanya maamuzi ya kieatimua wabunge wake kuwa vilikiwa I vikao vya majungu........

Spika Ndugai amedhirisha dhahiri jinsi anavyokichukia chama cha Chadema kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom