Spika Ndugai amtoa bungeni Mbunge Suzan Kiwanga na kumtaka kutohudhuria vikao hadi bunge lijalo

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Spika wa Bunge Job Ndugai leo Novemba 15, 2018 amemtoa bungeni Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (CHADEMA), na kumtaka kutohudhuria vikao vya bunge hadi bunge la bajeti lijalo mwakani 2019, kwa kosa la kuingilia hoja ya Mbunge wa Tandahimba Katani Ahmad Katani (CUF), aliyekuwa akikanusha taarifa za kujiuzulu ubunge jijini Dodoma.
IMG_20181115_192030.jpeg
IMG_20181115_191951.jpeg
 
Back
Top Bottom