Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

Screenshot_20190107-170812.png
 
Sasa isipotolewa maelezo utajuaje kama imeliwa au la? Ndo maana inatakiwa itolewe maelezo.serikali ikishasema hiyo pesa ilipo mjadala umeisha.
Kwani ukitolea majibu kuwa fedha ilienda kuongeza nguvu ya usalama wa Taifa sababu ya matukio ya kuhatarisha amani kama ya kibiti nani atahoji tena?
Hapa Tz sioni kama Kuna haja ya kutumia nguvu sana kujieleza. Hata C.A.G kuna majibu akishapewa hata kama ni ya kisiasa Ila kwa kutumia akili hawezi jilipua'.
Hapa kusipokuwa na umakini wapinzani ndo watapata ya kuzungumza sasa. Na mabeberu yanapenda kweli kuingilia wale wenye hizi tabia za kusutana. Manchi mengine yalianza hivi hivi mabeberu yakaona pa kupenya.
Halafu walishaanza kudanganya,serikali ilisema kuna pesa ilipelekwa zanzibar!CAG akabaini hakuna fedha iliyokwenda huko!Sasa kama wanakuwa waongo,kwanini tusiwe na mashaka?Kwanini bunge liko kimya?Huo ndio udhaifu wenyewe!
 
Mie simoooo... 😜🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃💨💨💨💨💨💨
 
Halafu walishaanza kudanganya,serikali ilisema kuna pesa ilipelekwa zanzibar!CAG akabaini hakuna fedha iliyokwenda huko!Sasa kama wanakuwa waongo,kwanini tusiwe na mashaka?Kwanini bunge liko kimya?Huo ndio udhaifu wenyewe!
Ni sawa mkuu. Maelezo ni muhimu.
 
Prof Mussa Assad kuna sehemu kakosea kwenye ile kauli, Prof anajua utaratibu wa bunge kuwa baada ripoti yake kuwasilishwa bungeni ilibidi ijadiliwe mwisho wa siku kamati husika ndipo alipoitwa Katibu mkuu wa hazina kipindi miezi 2 iliyopita hapa baadae kamati ikimaliza kazi yake itapeleka ripoti kwa CAG tena then CAG ataangalia then ataipa Bunge ripoti juu ya kile kilichowasilishwa na kamati husika katika sakata hilo.
Ndugai anadeviet hoja za Lissu, cag ni kichaka tu.
 
CAG ni chombo huru hakitoi maoni yako kulingana na upepo wa bunge au kamati za bunge
Maelezo ndiyo hayo prof amewahi sana kulikosoa bunge ilibidi asubiri ripoti ya kamati ya hesabu ya serikali kuu ambayo ilimuitaji Katibu wa wizara ya fedha na katibu mkuu wa Hazina ikawahoji then maelezo watakayo yapata itabidi wayawasilishe kwa CAG na CAG tena atoe recommendation yake juu ya utetezi wa Serikali kama akilidhishwa na Ripoti ya PAC basi ataindikia ripoti PAC kama fedha zilitumika kwa utaratibu na kama hakuridhishwa basi ataiambia pia PAC then PAC itawasilisha hoja bungeni ya kuchukua hatua! Hivi ndivyo ninavyojua juu ya utaratibu wa vitu kama hivi sasa hapa CAG ametoka mapema kulikosoa Bunge wakati mchakato haujafikia mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof Mussa Assad kuna sehemu kakosea kwenye ile kauli, Prof anajua utaratibu wa bunge kuwa baada ripoti yake kuwasilishwa bungeni ilibidi ijadiliwe mwisho wa siku kamati husika ndipo alipoitwa Katibu mkuu wa hazina kipindi miezi 2 iliyopita hapa baadae kamati ikimaliza kazi yake itapeleka ripoti kwa CAG tena then CAG ataangalia then ataipa Bunge ripoti juu ya kile kilichowasilishwa na kamati husika katika sakata hilo.
Kwani hiyo ni ripoti ya kwanza? Prof hakuzungumzia ripoti moja kazungumzua mfumo mzima wa bunge letu. Anayoyafanya spika inathibitisha udhaifu wenyewe. Watu dhaifu hujificha nyuma ya 'ukali' usioeleweka.
 
Back
Top Bottom