Spika Ndugai amtaka Bashe kufuata kanuni za Bunge kupeleka hoja binafsi kuliko kutafuta umaarufu mitandaoni

Ni kweli umaarufu wake utamponza. Amesahau jinsi alivyoponapona tu mwaka 2015 kwa JK kumuacha baada ya kumvuruga swahiba wake Lowassa.
Nashauri Bashe na Nape wakatwe majina yao dakika za mwisho hata kama watashinda kura za maoni ili wahamie upinzani ambao Nape amekuwa akiwatukana.
Wapuuzi mno hao jamaa, ukifuatilia kwenye Akaunti zao hakuna sehemu yoyote waliyoelezea mazuri ya Serikali. Bombardier imefurahiwa sana wakakosa cha kuongea wamenyamaza bila kupost. Wanajidai kujua kukosoa sana wakati wao ndio walikuwa wala rushwa wakubwa.
Waende upinzani kama wanajiamini basi ili tuwaone kama watatembelea nyota zao wanazotaka kutupumbaza nazo.
Rubbish Mr yako mr tako.
 
Back
Top Bottom