Spika Ndugai ampa zawadi ya Tsh 10 milioni mhudumu wa ofisi yake mama Kavishe kwa utumishi uliotukuka!

Ndukidi

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,499
2,000
Like father like son, ametumia kifungu gani kumpa hela hiyo! By the way, ana umri gani maana Adam Sapi Mkwawa alikuwa spika miaka ya December 27, 1962 .... huyu mama alikuwa na umri gani na bado yuko ofisini!

Soma historia, huyu alikuwa spika mara mbili, mara ya pili ni 1975 mpaka 1994 kama sujakosea.
 
rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,182
2,000
Kama Ni kweli miaka ya sapi ndio hiyo 1964-1973 tuki assume alianza kazi 1973 Hadi leo 46yrs kazini. Miaka ya lazima kustaafu 60-46=14yrs. Kama maneno ya spika Ni kweli huyu mama alizaliwa lini na kusoma lini? Makubwaaaa
Mama Kavishe ni Pure Kaskazini stand up, keep hands up.......... Wachaga tunaaminika kwa uchapa kazi wetu, Gog pleas bless us....
Amesema alihudumu wakati Adam Sapi akiwa spika. Huo mwaka ulioandika, ndiyo mwaka wa mwisho ambao Sapi alikuwa spika?

Adam Sapi Mkwawa alikuwa Spika 1964 - 1973. Lakini kwa vyovyote vile huyo Mama hatakuwa chini ua umri wa miaka 60.
 
Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,331
2,000
Umesahau kwamba chifu mkwawa alikaa muda mrefu Sana kwenye uspika mpaka kuja kurithiwa na msekwa mwaka 1995
Sasa unadhani huyo mama miaka ya 90's alikuwaje?
Like father like son, ametumia kifungu gani kumpa hela hiyo! By the way, ana umri gani maana Adam Sapi Mkwawa alikuwa spika miaka ya December 27, 1962 .... huyu mama alikuwa na umri gani na bado yuko ofisini!
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,876
2,000
Anasema yule mama hadi jumamosi na jumapili hadi sikukuu ye yupo ofisini, huo ni uchapakazi au ufwala!
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,806
2,000
Kamati ya Mfanyakazi Bora Ofisi ya Bunge ndio imemteua Mama Kavishe kuwa Mfanyakazi bora kama wafanyavyo ofisi kadhaa

Kwa Mujibu wa Bajeti ya Ofisi ya Bunge Mfanyakazi bora wa Mwaka hulipwa 10 Mill

Sasa wana Siasa kwa kupenda Kick wakaji ‘sandwich’ ili wachukue Sifa kuwa huo ni uamuzi wao Binafsi. Shkamooni Wanasiasa poppet mlipo
 
majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,090
1,500
Like father like son, ametumia kifungu gani kumpa hela hiyo! By the way, ana umri gani maana Adam Sapi Mkwawa alikuwa spika miaka ya December 27, 1962 .... huyu mama alikuwa na umri gani na bado yuko ofisini!
pia ukumbuke adam sapi alianza mwaka 1962 na akastaafu rasmi miaka ya 1990,s
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Mama Kavishe ni Pure Kaskazini stand up, keep hands up.......... Wachaga tunaaminika kwa uchapa kazi wetu, Gog pleas bless us....
Hapa husikii kanda ile wakilalamika Ukabila au ukanda. Hizi ndio habari wanazopenda kuzisikia na wewe umeonesha wazi kabisa jinsi ulivyo mkabila. Huwa nasema HAKUNA WATU WABAGUZI NA WAKABILA KAMA WACHAGA.
 
MuganyiziMushiMwaipopo

JF-Expert Member
Oct 14, 2018
299
500
Kamati ya Mfanyakazi Bora Ofisi ya Bunge ndio imemteua Mama Kavishe kuwa Mfanyakazi bora kama wafanyavyo ofisi kadhaa

Kwa Mujibu wa Bajeti ya Ofisi ya Bunge Mfanyakazi bora wa Mwaka hulipwa 10 Mill

Sasa wana Siasa kwa kupenda Kick wakaji ‘sandwich’ ili wachukue Sifa kuwa huo ni uamuzi wao Binafsi. Shkamooni Wanasiasa poppet mlipo
Kwa kawaida zawadi ya Mfanyakazi bora hutolewa siku ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi au mimi ndiye sielewi???
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
It's just like a drop in the sea na walifanya hivyo eti kuonekana neutral kama trump alivyofanya kwa Ben Curson.

Kwani nani hawajui nyinyi watu?
Hawa Tanzania nzima kabila la maana na lazima wawe viongoz ni WACHAGA TU?Mbona hatusikii wanyia, wakinga, wasafwa wakilalamika?Wachaga mnauspecial gani ktk hili Taifa?
 
Letibaby

Member
Aug 23, 2018
22
45
Hivi kwanin hizo pesa zisingetumika hata kuwasaidia wajasilia mali wadog wadog ilkiweza kujiinua uchumi na kipato cha nchi.Kulko kifnyakazi ya kuwawezesha ambao wanajiweza hayo ni matumizi mabaya ya pesa.
 
Letibaby

Member
Aug 23, 2018
22
45
Sio Lazima japo wengi ( sio wote) hufanya hivyo

May Mosi hutolewa zawadi kwa wale washindi wa Jumla kwny maadhimisho
Mm sizan kama ilkuwa na maan kuanza kupongezana ndani ya bunge wakati kuna mamb ya msingi ya kujadili yanayohusu maendeleo
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Unaweza ukawa sahihi!
List of Speakers of the National Assembly of Tanzania.

Below is a list of office-holders:

NameTook officeLeft officeNotes
Adam Sapi Mkwawa26 April 196419 November 1973Mkwawa was elected as Speaker of the National Assembly of Tanganyika on 27 November 1962[1]
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya20 November 19735 November 1975[1]
Adam Sapi Mkwawa6 November 197525 April 1994[1]
Pius Msekwa28 April 199428 November 2005[1]
Samuel Sitta28 December 20052010[1]
Anne Makinda10 November 201016 November 2015[1]
Job Ndugai17 November 2015Incumbent[1]
Mbona huko juu ulisema John hajaenda shule?Jitaidi kuwa na akiba ya maneno na punguza ujuaji wa kijinga.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom