Spika Ndugai ampa zawadi ya Tsh 10 milioni mhudumu wa ofisi yake mama Kavishe kwa utumishi uliotukuka!

Spika Ndugai amemuita mhudumu wa ofisi yake mama Kavishe mbele ya bunge zima ili kumtambulisha na kumpongeza.

Mh Ndugai amesema mama Kavishe amehudumia maspika wote kuanzia Chifu Mkwawa, mh Msekwa, mhSitta, mh Makinda na sasa yeye kwa uaminifu mkubwa.

Spika Ndugai amemwagiza Katibu wa bunge ampatie mama Kavishe zawadi ya sh milioni 10, bunge zima lililipuka kwa shangwe na vigeregere.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Anastahili kabisa hongera mama Kavishe jirani yangu mtu wa watu
 
Ile nusu bilioni aliyokwapua kwenda India inamuwasha washa si ajabu kaamua kuanza kuigawa 😂😂

Wakwao na familia yake hawana shida kumbe....!!
Minilidhani zawadi ingesema ofisi ya maiki...teh
 
Kwa mara ya kwanza CCM inakuwa mkarimu kwa Mchaga na labda huyo mama si Mchaga anatumia jina la mume wake.

Kwani nani hawajui nyinyi na michuki yenu ya kisoro?

Cc Barbarosa 'jibwa'
Chadema ndio walijibrand Kama chama Cha kabila ya wachaga.Mimi CCM chadema wamewaumiza wachaga Sana inabidi wawaombe samahani wachaga.Hawajawatendea haki .Watanzania wengi wanaamini chadema Ni Cha wachaga.Mbowe umeumiza wachaga Sana kwa siasa zako za kitapeli ujue.
 
Sikuhizi kiongozi wanasiasa wanamihela kuliko hata wafanyabiashara, misaada wanatoa wao chamoto tutakiona
 
hio pesa si angenipa Mimi kijana huyo kishazeeka ataitumia vipi
Huyo mama Kavishe yaani mwache aile hiyo pesa Sijawahi ona mama mwadilifu na mtu wa watu Kama mama Kavishe.yaani ukikaa naye unatamani ndie awe mamaako mzazi hata Kama mamaako alifariki au yupo hai.Inje ya kazi alikuwa mama yetu wengi
 
Huyo Mama Kavishe anaoneka bado hajazeeka. Inapendeza sana
Majirani tunamjua Kama mtu wa watu alikuwa hajikwezi ukikaa naye anashuka level yako usije jisikia vibaya kuwa yeye matawi ya juu.Iwe Kuna shughuli alikuwa tuko naye pamoja.Mama Kavishe Mungu akubariki mtu wa watu usiye na makuu na usiyedharau yeyote .
 
Majirani tunamjua Kama mtu wa watu alikuwa hajikwezi ukikaa naye anashuka level yako usije jisikia vibaya kuwa yeye matawi ya juu.Iwe Kuna shughuli alikuwa tuko naye pamoja.Mama Kavishe Mungu akubariki mtu wa watu usiye na makuu na usiyedharau yeyote .
Wachagga ambao hawako hivyo ni wachagga pori mkuu😀
 
John inaonekana hujaenda shule au umeenda za kata. kama mtu alihudumu mwaka 1962 na leo yuko kazini hajastaafu, ana umri gani sasa? she must be over 60 compulsory retirement age! au wasemaje?
Hujamuelewa Ndu_gay. Huyu mama alianza kuhudumu tangu akiwa tumboni

🏃🏃🏃🏃
 
Rekebisha kichwa Cha habari hizo pesa hazijatoka kwenye mfuko wake ndungai zimetoka kwenye Bunge

Hivyo NI Bunge limemzawadia huyo mama kavishe
 
Back
Top Bottom