Spika Ndugai ameiandikia NEC kuwa jimbo la Singida Kaskazini liko wazi

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
80,684
93,401
Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Job Ndugai ametangaza kuwa jimbo la Singida Kaskazini lililokuwa likishilikiwa na Lazaro Nyalandu liko wazi baada ya mbunge huyo kufutwa uanachama na CCM.

Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa na Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Spika Ndugai amemuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi(NEC), Jaji Semistocles Kaijage kumfahamisha kuwa jimbo hilo liko wazi.

Barua hiyo imeandikwa na Spika kwa mujibu wa kifungu 37(3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi 2015 kinachoeleza kwamba, pale ambapo mbunge atajiuzulu, atakufa au sababu nyingine yeyote tofauti na zilizoainishwa katika kifungu cha 113, Spika atamjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kutangaza kwenye Gazeti la Serikali kwamba kiti hicho cha ubunge kiko wazi.

“Kufuatia barua hiyo Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaweza kuendelea na mchakato wa kumpata mbunge wa kujaza nafasi hiyo iliyo wazi,” imeeleza taarifa hiyo

Chanzo: Mwananchi
 
Attachments

  • mwananchi.PNG
    mwananchi.PNG
    23.8 KB · Views: 57
nyalandu+pic.jpg

Taarifa hiyo imetolewa na Bunge baada ya Spika kumuandikia Jaji Kaijage baruakuwa jimbo hilo liko wazi

Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Job Ndugai ametangaza kuwa jimbo la Singida Kaskazini lililokuwa likishilikiwa na Lazaro Nyalandu liko wazi baada ya mbunge huyo kufutwa uanachama na CCM.

Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa na Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Spika Ndugai amemuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi(NEC), Jaji Semistocles Kaijage kumfahamisha kuwa jimbo hilo liko wazi.

Barua hiyo imeandikwa na Spika kwa mujibu wa kifungu 37(3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi 2015 kinachoeleza kwamba, pale ambapo mbunge atajiuzulu, atakufa au sababu nyingine yeyote tofauti na zilizoainishwa katika kifungu cha 113, Spika atamjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kutangaza kwenye Gazeti la Serikali kwamba kiti hicho cha ubunge kiko wazi.

“Kufuatia barua hiyo Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaweza kuendelea na mchakato wa kumpata mbunge wa kujaza nafasi hiyo iliyo wazi,” imeeleza taarifa hiyo

Mwananchi
 
Wale wanaosema nchi haina demokrasia naya ki dikteta cha ajabu watateua mgombea na kwenda kwenye uchaguzi katika nchi ya ki dikteta na isiyo na demokrasia watapiga kampeni,watatukana itafika siku ya kupiga kura mgombea wao atashindwa kisha watasema wanataka tume huru ya uchaguzi yani ukiwaza haya unasema sjui vichwan mwao wamejaza makamasi
 
Ndugai ukivuliwa nguo uwe mwepesi kuchutama.
Unatia aibu hata kama una msongo wa mawazo
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Wale wanaosema nchi haina demokrasia naya ki dikteta cha ajabu watateua mgombea na kwenda kwenye uchaguzi katika nchi ya ki dikteta na isiyo na demokrasia watapiga kampeni,watatukana itafika siku ya kupiga kura mgombea wao atashindwa kisha watasema wanataka tume huru ya uchaguzi yani ukiwaza haya unasema sjui vichwan mwao wamejaza makamasi

Ulipokosea ni hapo unapodai watashindwa. Ndio udikteta wenyewe huo na mapungufu ya kidemokrasia hayo uliyonayo. Uchaguzi haujafanyika tayari una matokeo!
 
Jua liwake mvua inyeshe jimbo linaenda ccm..... kwenye chaguzi ndogo kama hizi ndio tutaona rangi halisi ya serikali yetu.
 
Back
Top Bottom