Spika Ndugai akitimiza azma yake ya kumvua Tundu Lissu ubunge wake kwa ubabe ndiyo atakuwa amejiharibia kabisa!

Na shida ya hawa wafuasi wanawajaza upepo viongoz na wakishajaa wanawadump. Wako wapi waliokua wanamjaza upepo Mbowe wakati anakunywa juice Ulaya?Nachofurahi utawala huu hakuna kuongozwa na MIHEMKO ya mitandaoni. So wakati wa Lisu wa kuliwa kichwa ukifika ataliwa tu na maisha yataendelea.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Ndio unaume huo,Sio ushoga wa Makonda
 
Sasa mbona madela yanawabana.... (mmekimbia)
Sema hana ulimi wa Ng'eng'e
Shida mnaendeshwa na mihemko. Rais wa nchi akamjibu lisu huko London hahahahahahah. Hivi unafikir Rais ni kiongoz wa kijiwe cha kahawa?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Pale BBC hardtalk hi hospitali siku hizi?
Wewe unaweza pita uswazi ukakabwa halafu keshobyake ukarudia tena ?lisu amekabwa anatafuta timing ya kurudi anajua mtaa aliokabiwa ila wabakaji anawahisi tu na hao wanaomhimiza arudi anahidi ni miongoni mwa wqkqbaji au wam3nufaika na ukabaji.mwacheni apige mbije wakabaji waogop3 kwanza ndio arudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini
Tumeisikia kwa masikitiko makubwa sana taarifa iliyotolewa na Spika Ndugai kuwa kwenye kikao kijacho cha Bunge, kinachotazamiwa kuanza tarehe 29 mwezi huu, kitajadili hatma ya ubunge wa Tundu Lissu, kwa madai kuwa ni mtoro na uongozi wa Bunge lake haujatoa baraka za shughuli anazofanya huko aliko

Kwa maana nyingine ni kuwa Tundu Lissu anahesabika na uongozi wa Bunge kama mtoro au kwa kiingereza tunaita kuwa ame-abscond!

Hivi kwa tabia hii inayoonyeshwa na Spika Ndugai hivi sisi wananchi tutakuwa na makosa tukisema kuwa uongozi wa Bunge unawajua "watu wasiojulikana" waliohusika na kumminia risasi zaidi ya 30 Tundu Lissu mwaka juzi??

Hivi kwa namna alivyoumizwa Tundu Lissu kwa risasi mfululizo zilizolengwa kwake kwa nia ya kumuua, ambapo dunia nzima "ina-sympathize" naye, iweje yeye Spika Ndugai afanye vice versa??

Hivi Spika Ndugai atawezaje kumwita mbunge Tundu Lissu kuwa ni mtoro wa vikao vya Bunge, wakati dunia nzima inajua kuwa Tundu Lissu amekuwa akiendelea na matibabu nchi za nje akiwa mahututi, baada ya kunusurika kuuawa baada ya kushambuliwa na "watu wasiojulikana" kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari yake??

Hivi inawezekanaje uongozi wa juu wote wa Bunge, akiwemo yeye Spika mwenyewe, Naibu wake, Tulia Ackson na Katibu wake wa Bunge, Kigaigai, wawe hawajakanyaga hata siku moja, katika hospitali ambazo anatibiwa Tundu Lissu zaidi ya mwaka hivi sasa, lakini leo wamwite mtoro??

Kama alivyosema Tundu Lissu mwenyewe na kumwambia Spika Ndugai kuwa asijaribu kumwaga petroli kwenye moto unaowaka kwa kuwa ni wazi kuwa utamlipua!
'Masikini aonewe lakini ni lazima haki apewe'
Kwenye hili, mimi ninadhani tunamuonea spika na kwenye hili jamvi hili inabidi ilijadili jambo hili bila jazba.
1. Ndugu Tundu Lissu ni kweli alikuwa anaumwa na wote tunafahamu kuwa yuko nje ya nchi kwa matibabu.
Lakini hizi ziara zake huko nje ni za kitabibu[ ninaona alichokuwa anakifanya mbowe kinajirudia]
2. Jee kanuni za bunge zinasema nini kuhusu hili?
3. Jee hizo safari ambazo ndugu TL anazifanya zimeidhinishwa na nani?
4. Jee ni namna gani mbunge anaweza kupoteza ubunge?
 
Tumeisikia kwa masikitiko makubwa sana taarifa iliyotolewa na Spika Ndugai kuwa kwenye kikao kijacho cha Bunge, kinachotazamiwa kuanza tarehe 29 mwezi huu, kitajadili hatma ya ubunge wa Tundu Lissu, kwa madai kuwa ni mtoro na uongozi wa Bunge lake haujatoa baraka za shughuli anazofanya huko aliko

Kwa maana nyingine ni kuwa Tundu Lissu anahesabika na uongozi wa Bunge kama mtoro au kwa kiingereza tunaita kuwa ame-abscond!

Hivi kwa tabia hii inayoonyeshwa na Spika Ndugai hivi sisi wananchi tutakuwa na makosa tukisema kuwa uongozi wa Bunge unawajua "watu wasiojulikana" waliohusika na kumminia risasi zaidi ya 30 Tundu Lissu mwaka juzi??

Hivi kwa namna alivyoumizwa Tundu Lissu kwa risasi mfululizo zilizolengwa kwake kwa nia ya kumuua, ambapo dunia nzima "ina-sympathize" naye, iweje yeye Spika Ndugai afanye vice versa??

Hivi Spika Ndugai atawezaje kumwita mbunge Tundu Lissu kuwa ni mtoro wa vikao vya Bunge, wakati dunia nzima inajua kuwa Tundu Lissu amekuwa akiendelea na matibabu nchi za nje akiwa mahututi, baada ya kunusurika kuuawa baada ya kushambuliwa na "watu wasiojulikana" kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari yake??

Hivi inawezekanaje uongozi wa juu wote wa Bunge, akiwemo yeye Spika mwenyewe, Naibu wake, Tulia Ackson na Katibu wake wa Bunge, Kigaigai, wawe hawajakanyaga hata siku moja, katika hospitali ambazo anatibiwa Tundu Lissu zaidi ya mwaka hivi sasa, lakini leo wamwite mtoro??

Kama alivyosema Tundu Lissu mwenyewe na kumwambia Spika Ndugai kuwa asijaribu kumwaga petroli kwenye moto unaowaka kwa kuwa ni wazi kuwa utamlipua!
Mkakati huo ni wa CCM ukisimamiwa na Makonda na Ndugai, wanalitaka jimbo lao.
 
Ni kweli, lakni tusijipe imani kwa vyama vya tanzania na wanaharakati hawa wanaohama vyama leo kuwa watakuja kuiondoa Ccm madarakani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima iondolewe na wav. Muda ukifika hata isipoondolewa na watu, itajiondoa yenyewe tu. Hakuna mv duniani aliyewahi kuzuia mabadiliko.
 
Mkuu mwenye nia ya kumvua Ubunge Lissu hazina ya Taifa si Kikaragosi ndugai huyo anatumika tu. Mwenye nia ya kutaka kuona Lissu si mbunge tena ni dikteta kichaa jiwe lakini kajikausha kama hayupo vile na wala hajui kinachoendelea.
Jiwe anamuogopa Lissu kuliko chochote
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na shida ya hawa wafuasi wanawajaza upepo viongoz na wakishajaa wanawadump. Wako wapi waliokua wanamjaza upepo Mbowe wakati anakunywa juice Ulaya?Nachofurahi utawala huu hakuna kuongozwa na MIHEMKO ya mitandaoni. So wakati wa Lisu wa kuliwa kichwa ukifika ataliwa tu na maisha yataendelea.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Nakunukuu Mkuu Misuli, umesema Lissu akaliwe kichwa??

Nyinyi ndiyo mko katika kundi la "watu wasiojulikana" ambao sasa mshaanza kujulikana!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo lenu mnatafuta sympathy..hii serikali ni ya hapa kazi tu..nini ubunge watu wanaondolewa uwaziri..hafit tena hiyo nafasi..zaidi anakula jasho la walipa kodi bila kazi yoyote..isitoshe madhara aliyopata hakuwa anafanya kazi za kibunge..ni kazi zake binafsi za kuvimbisha tumbo ye na familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeisikia kwa masikitiko makubwa sana taarifa iliyotolewa na Spika Ndugai kuwa kwenye kikao kijacho cha Bunge, kinachotazamiwa kuanza tarehe 29 mwezi huu, kitajadili hatma ya ubunge wa Tundu Lissu, kwa madai kuwa ni mtoro na uongozi wa Bunge lake haujatoa baraka za shughuli anazofanya huko aliko

Kwa maana nyingine ni kuwa Tundu Lissu anahesabika na uongozi wa Bunge kama mtoro au kwa kiingereza tunaita kuwa ame-abscond!

Hivi kwa tabia hii inayoonyeshwa na Spika Ndugai hivi sisi wananchi tutakuwa na makosa tukisema kuwa uongozi wa Bunge unawajua "watu wasiojulikana" waliohusika na kumminia risasi zaidi ya 30 Tundu Lissu mwaka juzi??

Hivi kwa namna alivyoumizwa Tundu Lissu kwa risasi mfululizo zilizolengwa kwake kwa nia ya kumuua, ambapo dunia nzima "ina-sympathize" naye, iweje yeye Spika Ndugai afanye vice versa??

Hivi Spika Ndugai atawezaje kumwita mbunge Tundu Lissu kuwa ni mtoro wa vikao vya Bunge, wakati dunia nzima inajua kuwa Tundu Lissu amekuwa akiendelea na matibabu nchi za nje akiwa mahututi, baada ya kunusurika kuuawa baada ya kushambuliwa na "watu wasiojulikana" kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari yake??

Hivi inawezekanaje uongozi wa juu wote wa Bunge, akiwemo yeye Spika mwenyewe, Naibu wake, Tulia Ackson na Katibu wake wa Bunge, Kigaigai, wawe hawajakanyaga hata siku moja, katika hospitali ambazo anatibiwa Tundu Lissu zaidi ya mwaka hivi sasa, lakini leo wamwite mtoro??

Kama alivyosema Tundu Lissu mwenyewe na kumwambia Spika Ndugai kuwa asijaribu kumwaga petroli kwenye moto unaowaka kwa kuwa ni wazi kuwa utamlipua!
Hata akimvua huo ubunge Tundu Lissu hatakufa kwa njaa - Mungu aliyemponya na yale marisasi ndiye huyo huyo atakayyeendelea kumlisha . Neno la Mungu linasema
"25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi? " (Mathayo 6). Na badala yake tuendelee kumtumainia Mungu ambaye anatupa uhai- ambae ameutunza uhai wa Tundu Lissu pamoja na madhila yaliyompata.
"
 
Tumeisikia kwa masikitiko makubwa sana taarifa iliyotolewa na Spika Ndugai kuwa kwenye kikao kijacho cha Bunge, kinachotazamiwa kuanza tarehe 29 mwezi huu, kitajadili hatma ya ubunge wa Tundu Lissu, kwa madai kuwa ni mtoro na uongozi wa Bunge lake haujatoa baraka za shughuli anazofanya huko aliko

Kwa maana nyingine ni kuwa Tundu Lissu anahesabika na uongozi wa Bunge kama mtoro au kwa kiingereza tunaita kuwa ame-abscond!

Hivi kwa tabia hii inayoonyeshwa na Spika Ndugai hivi sisi wananchi tutakuwa na makosa tukisema kuwa uongozi wa Bunge unawajua "watu wasiojulikana" waliohusika na kumminia risasi zaidi ya 30 Tundu Lissu mwaka juzi??

Hivi kwa namna alivyoumizwa Tundu Lissu kwa risasi mfululizo zilizolengwa kwake kwa nia ya kumuua, ambapo dunia nzima "ina-sympathize" naye, iweje yeye Spika Ndugai afanye vice versa??

Hivi Spika Ndugai atawezaje kumwita mbunge Tundu Lissu kuwa ni mtoro wa vikao vya Bunge, wakati dunia nzima inajua kuwa Tundu Lissu amekuwa akiendelea na matibabu nchi za nje akiwa mahututi, baada ya kunusurika kuuawa baada ya kushambuliwa na "watu wasiojulikana" kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari yake??

Hivi inawezekanaje uongozi wa juu wote wa Bunge, akiwemo yeye Spika mwenyewe, Naibu wake, Tulia Ackson na Katibu wake wa Bunge, Kigaigai, wawe hawajakanyaga hata siku moja, katika hospitali ambazo anatibiwa Tundu Lissu zaidi ya mwaka hivi sasa, lakini leo wamwite mtoro??

Kama alivyosema Tundu Lissu mwenyewe na kumwambia Spika Ndugai kuwa asijaribu kumwaga petroli kwenye moto unaowaka kwa kuwa ni wazi kuwa utamlipua!
Tusiongee kwa ushabiki na kumrukia spika ndugai, tunajua tundu lisu alipigwa risasi kwa mujibu wa vyombo vya habari na labda report ya daktari ambayo sisi hatuna kama watu wa kawaida, lakini kwakua tundu hakufata utaratibu wa kiserikali na kibunge kuondoka nchini kwenda kwenye matibabu yake ndio maana spika hatambui kua yuko anatibiwa kwa mujibu wa kanuni...sasa kama itaonekana kwa muda ambao hayupo bungeni kanuni zinasema avuliwe ubunge..basi avuliwe tu kwani aliununua?? Au lazima.yeye awe mbunge?? Kama anaonekana anazurula huko nje kuichafua nchi yake na kulazimisha nchi kukosa misaada ili watu wakose maji na madawa sasa yeye ni mbunge wa kuharibu nchi yake?? Wamvue tu ubunge kama kanuni zinaruhusu ili maisha yaendelee
 
Pale BBC hardtalk hi hospitali siku hizi?
Ina mana ameshapona lakini badala ya kurudi kwanza Tz kaunganisha safari za kuzunguka dunia kwanza kumwaga ugali. Nafikiri angerudi kwanza Tz akaingia bungeni alafu akaaga na kuanza safari zake uko nje. Hapo angekuwa amecheza mchezo vzr kuliko alivyofanya kuunganisha safari jukwajuu. Kweli pale HARD TALK BBC sio hosipitali.
 
Kile kipindi cha Hardtalk cha BBC alichoshiriki Tundu Lissu, ndicho kinachowafanya viongozi wa juu ya serikali hii ya awamu ya tano "waweseke" na kushindwa kuvilalia vitanda vyao......

Wenyewe watu wa serikali wanadai kuwa Tundu Lissu amepiga "fix" nyingi sana kwenye kipindi hicho, kuwa Tundu Lissu ameiongopea dunia, kwa kuwa kipindi hicho kinakadiriwa kuangaliwa na watu zaidi ya milioni 300 duniani kote.......

Mtangazaji Stephen Sackur anayeongoza kipindi hicho, ametoa mwaliko kwa Rais Magufuli ajitokeze kwenye Hardtalk nyingine ili ajibu mapigo......

Sasa mbona viongozi wa serikali mmeingia kihoro mno, wakati nafasi hiyo imetolewa na BBC ya kwenda kusawazisha hali ya hewa aliyoichafua Tundu Lissu??
Watume nauli ya kwenda
 
Back
Top Bottom