Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Kwanza ni mpuuzi Sana,nikajua labda kuna mambo yamekwama kumbe anaropoka tuu ,utekelezaji unafanyika kama ilivyopangwa sasa huyu mtu sijui huwa ana shida gani.
Ndugai yupo sahihi kwa sasa mawaziri wote ofisi zao zipo Dodoma kwa hiyo waziri akifanyia kazi zake Dar inamaana yupo nje ya ofisi hivyo anastahili kulipwa stahiki zote kama sheria ya kazi inavyosema

Transport allowance
Mills allowance
Accommodation allowance
Over time allowance

Hizi zote ni pesa za walipa kodi zinatafunwa bila ya sababu za msingi
 
wakati ule ikulu ilipohamia Chato mbona hakuhoji kama sio unafiki nini.Suala la serikali nzima kuhamia Dodoma kimsingi lilifanywa kisiasa bila kuangalia economic impact na wakati.Kuna wizara nyingi sana hazina cha kufanya Dodoma kwa kuwa shughuli zake nyingi zipo Dar es Salaam.Hakukua na haji ya kuipeleka baadhi ya wizara Dodoma.Nimekuwepo mtumba pale jumatatu ya wiki hii watu wapo wanapigwa na jua hakuna kazi na hakua watu wa kuwahudumia.Kimisingi watumishi wengi watumishi wanalipwa mishahara huku wakiwa hawana kazi za kufanaya.Speaker hahoji kwa nini watu wanalipwa ilihali kazi za kufanya hakuna.Kuna taasisi wadau wako Dar es Salaam kwa nini ofisi iwepo Dodoma?Suala la kuhamia Dodom halikuangalia nyakati na maendeleo ya Technolojia.
Kwaio kazi za izo wizara zilikua Ni kuhudumia Dar ?sio Tanzania
 
Ndugai yupo sahihi kwa sasa mawaziri wote ofisi zao zipo Dodoma kwa hiyo waziri akifanyia kazi zake Dar inamaana yupo nje ya ofisi hivyo anastahili kulipwa stahiki zote kama sheria ya kazi inavyosema

Transport allowance
Mills allowance
Accommodation allowance
Over time allowance

Hizi zote ni pesa za walipa kodi zinatafunwa bila ya sababu za msingi
Kweli kabisa
 
Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria......Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?

jibu lipo wazi kuwa anaye control ni mama samia kwa sababu tulikuwa tumezoea kila siku kusikia magufuli kagawa mipesa kadhaa kwa taasisii mbalii mbali na siku hizi aliyevaa viatu vyake naye tunasikia vilevile lakini tujiulize ndugai alimaanisha hivyo au aliwalenga wabunge, mkaguzi mkuu wa serikali, makatibu wakuu ? au alilenga hazina? yote tisa ningemwona shujaa kama angeulizia ile ripoti ya uchunguzi wa hazina / b. 0, t january to march
 
Ndugai alichofanya hapo ni kurusha jiwe gizani tu, siyo kwamba hajui.....anasubiri yoyote atakayepatwa na jiwe aibuke huko.
 
Tanzania ilikuwa inamuhitaji sana bado JPM ila kwa sababu mipango ya Mubgu haichunguziki tunamshukuru atatuvusha
 
Tanzania ilikuwa inamuhitaji sana bado JPM ila kwa sababu mipango ya Mubgu haichunguziki tunamshukuru atatuvusha
Tanzania inahitaji very strong institutions, institutions are there to stay watu wanakuja na kupita, sijui ni kwa nini hii kitu ni ngumu kueleweka...
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
Hah hah Ndugai ni mnafiki isingekuwa Dododma wala asingehangaika kuhoji, anahoji kwa kuwa ni kwao, unadhani ingekuwa ni Singida angehangaika kutoa hayo mapovu.
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
Anaamua kumshambulia Mama kwa kutumia trick mpya.
Hajakubali kabisa kwamba kiongozi wa nchi siyo yule aliyekuwa na mlengo sawa na wake, Ndugai badilika tu uendane na kiongozi wa sasa.
Hili swali lako ni nia ovu huna maana yoyote ya msingi, kubali matokeo ndugai, wakati wa kiongozi aliyepita hukuwahi kuhoji zile safari na Ikulu kutapakaa kila mahali, watu waliapishwa popote alipojiskia Bwana mkubwa, hukujua Makao Makuu ya nchi ni Dodoma?
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
atulize mshono kwanza mastrategist wamalize gemu.
 
Hela lazima tupige na safari tunalipana tu hakuna namna. Ukitaka na wewe njoo Serikalini otherwise lazima tukukamue ili tuishi maisha bora.

Haya sana tuma hela kijijini kwenu ili tupate hela ya tozo wiki inayo tunaanda Per Diem tuna safari sisi tunahitaji hela.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mwisho wa yote ni kuwa tunawajibika na tunayoyafanya. Hakuna sababu ya kupambana na wasiojitambua. Muda ni mwalimu mzuri. Kuna mwingine anajifunza. na atakuja mapema kuliko unavyofikiria
 
Back
Top Bottom