Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
1,363
2,372
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

 
Huyo nae huwa ni mjinga Sana na huwa anahemka, expenditure za serikali huwa siku zote ana control nani?.

Makongamano gani ambayo yanafanyika Dar tuu? Na nani kasema makongamano yanatakiwa kufanyika Dom pekee?

Kwani kulipana posho ni tatizo? Pale Bungeni anakaa bure bila posho?

Hiki kizee huwa kina matatizo ya kisaikolojia nadhani.

Seems haelewi hata uelekeo wa uchumi wa sasa
 
Tanzania ipo Dar es salaam
Mawaziri lazima wafanye shughuli zao kwa kiasi kikubwa wakiwa Dar
Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria. Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi...
Mbona hajahojiy wale Wabunge walioapishwa garage kina Mdee /covid 19 ,hizo mishahara na posho zinatoka kwenye bajeti gani?
 
Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria......Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria.....kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
Mimi mwananchi
 
Some of us forewarned even before the #ushindiwakishindo happened, that this moment of "egg on the face" was inevitable.

Happy today is that moment! , but majority of the Tanzanians should never forget Ndugai and his comrades prefected the biggest threat to the survival of our beloved nation back in October 2020.

Time to revisit!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom