Hivi Speaker Nate anaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge? Mbona kama vile anaingilia Mhimili wa Serikali?Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327