King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,643
- 68,586
Amefanya jambo jema.
Nijuavyo ni team sgang na hawaamini katika mambo hayo.Mbona bomba la sindano yenyewe limesha didimizwa ? Au wanamtoa sample ya damu kwanza ? Ok sawa basi tufanye ndio anachomoa sindano
Kweli saa zinakwenda, huyu si yule aliyekuwa anapinga uwepo wa korona juzi juzi tu?!
Japo na nesi kuvaa Gloves Mbona Kama mh. Kanuna ivi au anaumwa