Spika Ndugai aahirisha Bunge na kuwataka Wabunge kuzingatia masharti ya Serikali kuhusu afya zao pia madereva wao wasikimbie hovyo

Unadhani ugonjwa una adabu, unaleta siasa katika afya za watu. naona wabunge hapo wanashukuru Mungu maana wanaujuwa ukweli hali mbaya ila wanaogopa hata kuvaa mask lakini mwisho wa siku imebidi aongee tu maana kuna fununu baadhi ya mawaziri wanajiganga hakuna siri tena. ila mimi naamini hawa wakubwa chanjo wamepiga kimya kimya.
 
Tatizo kubwa ni hapo , watu wanaogopa kujikinga. Mtu unaogopa kuvaa barakoa kweli uoga wa aina hii sijaona.

Yani bora kufa kuliko kuvaa barakoa.
 
Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30.

Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini wawapo barabarani na kuacha tabia ya kukimbia kimbia hovyo.

Mwisho, Spika Ndugai amewataka wabunge wote kukusanyika kwenye viwanja vya bunge ili kutoa heshima za mwisho kwa mbunge wa Muhambwe aliyefariki dunia kwa ajali.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Hata bunge linaiogopa serikali kutoa tahadhari ya corona, Mahakamani Mawakili, Majaji na Mahakimu wanateketea lakini hakuna hata tamko la kuzugia
IMG-20210206-WA0038.jpg
 
Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30.

Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini wawapo barabarani na kuacha tabia ya kukimbia kimbia hovyo.

Mwisho, Spika Ndugai amewataka wabunge wote kukusanyika kwenye viwanja vya bunge ili kutoa heshima za mwisho kwa mbunge wa Muhambwe aliyefariki dunia kwa ajali.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Kawaida vikao uhairishwa na PM, leo vp au na yeye yupo aisiyu
 
Arcado Ntagazwa alikuwa zamani mbunge wa Muhambwe kafariki na Nditiye ni mbunge Current wa Muhambwe kafariki at the same period. .Is it a coincidence or what? Watu wa Muhambwe kulikoni ? ushirikina or what?
Coincidence nyingine hapana.
 
Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30.

Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini wawapo barabarani na kuacha tabia ya kukimbia kimbia hovyo.

Mwisho, Spika Ndugai amewataka wabunge wote kukusanyika kwenye viwanja vya bunge ili kutoa heshima za mwisho kwa mbunge wa Muhambwe aliyefariki dunia kwa ajali.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee; hawa mawaziri walikuwepo wakati anaahirisha bangi?
  • Mpango
  • Lukuvi
  • Mkuchika
??????????
 
Habari za kujikinga zinatolewa kwa code ngumu kweli ku decrypt.
Ndo shida ya kuukimbia ukweli , Wana struggle sana kuwa na kauli amabayo ita re place ukweli bila ya wao kuonekana kuwa wamefeli zoezi zima.
The thing is hitting hard hata kwenye cycle zao.
 
Back
Top Bottom