Spika na mwanasheria mkuu wa serikali duuuuuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika na mwanasheria mkuu wa serikali duuuuuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nguluvisonzo, Apr 15, 2011.

 1. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sikuamini wala sinta kaa niamini,hivi kweli serikali hii itatusaidia katika gurudumu la maendeleo kama mdhibiti mkuu wa seria serikalini nae anadiriki kutetea kupindishwa kwa sheria?tena za bunge, hatari sana,''Mheshimiwa Spika,nimevumilia kwa muda mrefu na vya kutosha sasa ni wakati wa kuchukua hatua tena kali, hivyo naomba sajent of arms itumike hapa''.Mikataba mibovu itakwisha kweli,Mishahara hewa itakwisha kweli,dhuluma ya rasilimali ya Tanzania itakwisha kweli,wanyonge na masikini watapa haki zao kweli,sheria itawalinda wananchi kweli,hapa hakuna kitu,watanzania tukazane tuwasaidie wabunge wa CHADEMA na viongozi wao kuhakikisha mambo yanarudi kwenye msitari,ni aibu sana kwa Spika,Mwanasheria mkuu wa serikali na wabunge wa CCM maana nao walikazana kuhakikisha Wenje Anaadhibiwa vikali na kutoa vijembe vya kila aina,huku wakijua wanavunja sheria jamani ni wabunge gani hawa wanaotetea maovu ya sheria tena ndani ya bunge nawapongeza CDM kwa kusimamia ukweli songeni mbele kazi yenu ilionekana Wenje hakuadhibiwa na sheria hatimae ilifuatwa,na wengi walioshabikia na kutoa vitisho walikaa kimya.
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yaani wabunge wa CCM walikuwa wazuri tu ipindi kile cha mfumo wa chama kimoja. Hivi sasa wamo mjengoni kwa faida ya madudu ya chama chao na si kwa maslahi ya waliowachagua
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  chama cha magambaaaaaaa
   
Loading...