Spika mstaafu Sitta ataendelea kuwa Spika mioyoni mwa Wabunge?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,957
539
Hakuna ubishi kuwa Spika mstaafu Sitta alifanya kazi nchi ya kukumbukwa Bungeni.Nyia iliyotumika kumuondoa inatia shaka kwani kuna watu waliofurahia kuondolewa kwake na wengine walikerwa nayo.Sasa je ataendelea kuwatumikia watanzania kama Spika wa Bunge mioyoni mwao?
 
Njia iliyomwondoa kwangu haitii mashaka mana aliruhusu mijadala iliyowafungua watu kuwa what is CCM and Tanzaian leadership. Mimi nilijua kuwa hata kwa miujiza hawezi rudi ng'o. labda wasingekuwa Makamba na JK

Wewe Lowasa wagombane naye halafu arudi na huku ukijua kuwa Lowasa ndo kaka wa JK! Unacheza nini?
6 wala asingerudi kwa ccm ya sasa waacheni sasa walale usingizi poooooooa wameshamweka wa kwao

Sasa tusubiri tu
 
Mh.Sitta kama utapewa Uwaziri kaa chonjo kwani wanaweza wakakutega ili walipize kisasi.Pia wakikukera nenda upinzani una nyota iyong'aa mioyoni mwa Watanzania.
 
Mh.Sitta kama utapewa Uwaziri kaa chonjo kwani wanaweza wakakutega ili walipize kisasi.Pia wakikukera nenda upinzani una nyota iyong'aa mioyoni mwa Watanzania.
Sidhani kama wakimpa Uwaziri kuwa wataweza kumlipizia kisasi maana ilimradi tu ukijua kuwa kuna wabaya wengi, basi ni kuwa smart tu halafu wakileta zao wantia aibu basi. Jamani kama Dr. Magufuli inafikia mda wafanyakazi unawatendea vilivyo, idadi zooote unajua, huibi kijinga jinga watakukamata wapi
hadi waamue tena kuwa huwasaidii wanakutoa tena kwisha habari
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom