Spika Mstaafu Msekwa awapongeza CHADEMA kwa kuwafukuza uanachama wabunge waliokwenda kinyume na taratibu zao

Pius msekwa ameyasema hayo alipo hojiwa na EATV .

Anasema kwa katiba yao wamefanya jambo la maana kabisa na hakuna chama kinacho weza endekeza wanachama wasio fuata taratibu za chama chao.

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pius Msekwa, amesema kuwa CHADEMA wako sahihi kuwafukuza wanachama wake ambao wameenda kinyume na taratibu zao kwa mujibu wa katiba ya chama hicho.

Mzee Msekwa ameyabainisha hayo alipofanya mazungumza maalum na EATV&EA Radio Digital.

"Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiko sahihi kuwafukuza wabunge wake kutoka kwenye chama hicho, hivyo mamlaka hayo wanayo kwa mujibu wa katiba ya chama" amesema Mzee Msekwa.

Hivi karibuni CHADEMA kupitia kwa Katibu wa chama hicho John Mnyika, kiliwafukuza uanachama wabunge wake wanne, akiwemo David Silinde, Anthony Komu, Wilfred Lwakatare na Joseph Selasini, baada ya kukiuka maagizo na maelekezo ya chama.
Cc: barafuyamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi nawapongeza kwa kujibomoa kwao
 
Kwanza membe alipewa nafasi ya kujitetea, alijiteaje hadi akafukuzwa mimi sijui

Vipi Kwanini Mbowe hakuwapa Wabunge wa Chadema waliofukuzwa nafasi ya kusikilizwa?
Wabunge wa CHADEMA hao wanne walishasema wakipokea kiinua mgongo wao siyo CHADEMA tena sasa ilipaswa wasikilizwe ili iweje?
 
1589815831198.png

Back
Top Bottom