Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

Watu mnapenda kuhisi, sasa huyu mama corona kaipatia wapi?

May her soul rest in peace.
AMEN.

Sasa hivi kwa hali ilivyo, Mtu akipoteza maisha kwa maradhi yoyote yale, au iwe kifo cha ghafla.

Utakachosikia ni gonjwa hili la mlipuko.

Tumo kwenye wakati mgumu sana
 
Ndo watu kumi sasa?
Halafu mazishi ndo yasimamiwe na serikali?
Hata kwaya ya kanisa hairuhusiwi kuwepo?
Viongozi wa kanisa vipi?

Still kanisa j.pili litajaa watu, au tahadhari ni kwenye mazishi tu!? kuwa serious mzee.
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlevi mmoja alisikika akisema;sikuizi ndugu wanaomba mahali pa kuzika ndugu yao aliyefariki? Ikiwemo Na kuandaliwa ratiba ya mazishi Na serikali.....ibada ziendelee kukusanya mamia ya watu.

bungeni mnaendelea kuwepo,ofisi za umma Na binafsi kuendelea kukusanya watu,,watu wanasafiri...MAZISHI YAWE WATU KUMI??hatujaambiwa kilichomwondoa huyu mtumishi wa mungu!!! Basi mlevi huyo akatokomea kusikojulikana
 
Lazaro wa kifuani mwa Ibrahim na yule aliyefufuliwa na Yesu ni watu wawili tofauti
Ni kweli kabisa, ni watu tofauti. Aliyefufuliwa ni mtu halisi kaka yake Martha, na yule wa peponi ni wa kufikirika alitumiwa kama character na Yesu Kristo ili kukamilisha mafunzo. The same applies kwa msamaria mwema na mtu aliyevamiwa na wanyang'anyi, ni characters wa kuwezesha kutoa mafunzo. Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yamenitafakarisha:
1) atazikwa na serikali
2) atazikwa na watu kumi tu
3) familia imeomba serikal azikwe kanisani.!!!
HAKUNA HARUFU YA KORONA HAPA?

R.I.P Mtumishi wa BWANA.
 
R.I.P Mama. Wamesema ikiwezekana. Sasa Serikali ndo muamuzi wa mwisho. Mazishi kusimamiwa na Serikali. Merci à la Chine. Mama Rwakatare alivyokuwa msitari wa mbele kukemea Coronavirus. Leo imemwondoa. 😥😥😥💔💔💔💔
Daaaaah !!
 
Back
Top Bottom