Spika Makinda; Umejidhalilisha! Umedhalilisha Bunge na Watanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Makinda; Umejidhalilisha! Umedhalilisha Bunge na Watanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Aug 26, 2011.

1. Ibrah

Ibrah JF-Expert Member

#1
Aug 26, 2011
Joined: Mar 22, 2007
Messages: 2,712
Likes Received: 30
Trophy Points: 145
Leo nimebahatika kusikia clip ya Mchango wa Mbunge kutoka Z'bar kuhusu Wizara ya Katiba. Mbunge huyo wa CCM alichangia na kujibu hoja za Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria: Tundu Lissu. Alianza kushambulia hoja vizuri tu baadae alihamia kwa Mh Lisu binafsi akimponda Tundu Lisu na wengine wenye mawazo mgando. Alidai Wa-Z'bar wajua maana ya Tundu Lisu, ati ukiondoa 'U', na kuongeza 'A' wanajua maana yake! Mh mmoja alitaka 'utaratibu' Spika akagoma ati wawe wavumilivu! Spika kutetea matusi amejidhalilisha!

2. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#2
Aug 26, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 36,416
Likes Received: 14,720
Trophy Points: 280
iweke hapa hiyo clip.....

3. Ibrah

Ibrah JF-Expert Member

#3
Aug 26, 2011
Joined: Mar 22, 2007
Messages: 2,712
Likes Received: 30
Trophy Points: 145

Sikuirekodi, ilikuwa kama bahati tu. Huamini au? Ilikuwa aibu kubwa na wala sitamani kuisikia tena hata ikitokea imewekwa.

4. Al Zagawi

Al Zagawi JF-Expert Member

#4
Aug 27, 2011
Joined: Mar 17, 2009
Messages: 1,580
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
bi kiroboto ni failure from day one...
am sorry for you kama ulijua jana hiyo kitu

5. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#5
Aug 27, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,838
Likes Received: 2,080
Trophy Points: 280
hvo wapinzani wakitukana hawavumiliwi?huh

6. Ibrah

Ibrah JF-Expert Member

#6
Aug 27, 2011
Joined: Mar 22, 2007
Messages: 2,712
Likes Received: 30
Trophy Points: 145

Kama lini, na walimtukana nani? Kuna tofauti kubwa kati ya kushambulia hoja na kumshambulia mtu binafsi.

7. nguvumali

nguvumali JF Bronze Member

#7
Aug 27, 2011
Joined: Sep 3, 2009
Messages: 4,857
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
YULE MAMA KWANI ANA MUME ? Matatizo yake mengi husababishwa na kasoro hiyo, kama hufanyi vema maswala yahusianayo na mahusiano ya baba na mama tegemea kupoteza muelekeo katika maswala ya kiutendaji na uongozi.

8. f

frankmshamimana Member

#8
Aug 27, 2011
Joined: Feb 4, 2011
Messages: 35
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Bi MKORA

9. jogi

jogi JF-Expert Member

#9
Aug 27, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 15,667
Likes Received: 8,475
Trophy Points: 280

ni bibi kiroboto

10. Chuma Chakavu

Chuma Chakavu JF-Expert Member

#10
Aug 30, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 1,524
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
spika alikosea sana kwa kumwacha yule mbunge punguani wa z'bar(anaitwa chombo) kutukana watanganyika pamoja na tundu lissu, kuna maneno ambayo huyu punguani alizungumza kwa kumaanisha kwamba upuuzi na upumbavu wa Tanganyika uishie kisiwa cha chumbe! kilichonishangaza ni kwamba watz bara wanatukanwa pamoja na tundu lissu kuomba mwongozo mara mbili lakini spika alimkatalia kwa kumtaka awe mvumilivu, je siku nyingine mbunge wa kutoka tz bara akitoa lugha kama hiyo kwa waz'bar napo spika atataka wawe wavumilivu? spilka asije kujutia maamuzi yake aliyofanya siku hiyo maana kuna mbunge au wabunge nao watatoa lugha kama hizo ili kupima busara za spika na matokeo yake bunge litakuwa vurugu! kwa maoni yangu spika makinda bado hajatulia, sometimes anapagawa au anakosa msimamo katika kusimamia kanuni na utaratibu wa bunge!

Loading...