Kwani nimejaribu fanya utafiti na umakini wa huyu spika wetu anafaa sana kuwa head of state wetu!!!
Unajua kwa nini hana mume umri huu.
Vipi na we dogo dogo nini unaekurupukia mabibi kwa VX na benz?Jamani sijakurupuka kusema hili kwani kwa uongozi uliotukuka anafaa sana huyu mama