Spika Makinda amzidi kwa mbali Ndugai

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mama Anna Makinda sawa alikuwa na U- CCM lakini bado alikuwa na ubinadamu na upendo nje ya siasa.

Ndugai analifanya bunge kuwa sehemu ya ubaguzi na kujenga chuki kwa wawakilishi wa Wananchi.

Tukumbushane hili tukio ambapo kwenye tafrija hii mama Makinda alilisakata rumba na mkosoaji mkubwa wa CCM pale mjengoni.
Screenshot_20200429-122854.jpeg

In God we Trust
 
Mama Anna Makinda sawa alikuwa na uccm lkn bado alikuwa na ubinadamu na upendo nje ya siasa.

Ndugai analifanya bunge kuwa sehemu ya ubaguzi na kujenga chuki kwa wawakilishi wawananchi.

Tukumbushane hili tukio ambapo kwenye tafrija hii mama Makinda alilisakata rumba na mkosoaji mkubwa wa ccm pale mjengoni. View attachment 1435129

In God we Trust
Huyu mama alipondwa sana enzi za uspika wake, na badala yake alipokuwa anakaimiwa na ndugai kwenye kiti, ndugai alisifiwa sana.
Hivyo ule msemo wa bora ya jana unajidhihirisha...
Naamini jpm atasifiwa sana baada ya kutoka madarakani. Sina shaka na hili kwa trend hii..
 
Hata vidole vya mkono wako havilingani kamwe
tuache ukigeu geu, huyu mama kiroboto tuliyekuwa tunamshambulia kila siku kwa upendeleo leo mnauona shujaa, ebu acheni kuwa-snitch watanzania, ndugai, makinda, sita woote ni wale wale tuuu hapakuwa na mwenye nafuu apoo

In God we Trust
 
Huyu mama alipondwa sana enzi za uspika wake, na badala yake alipokuwa anakaimiwa na ndugai kwenye kiti, ndugai alisifiwa sana.
Hivyo ule msemo wa bora ya jana unajidhihirisha...
Naamini jpm atasifiwa sana baada ya kutoka madarakani. Sina shaka na hili kwa trend hii..
Kwa maana yako wewe kama mwana ccm unataka kutuaminisha kuwa bunge bado halijapata kiongozi makini?

In God we Trust
 
Unabaki kuwa ni mtazamo wako tu,na si wote tuna mtazamo kama huo,mimi namuona peace ile mbaya ,tatizo baadhi ya wabunge ni watukutu
Mama Anna Makinda sawa alikuwa na uccm lkn bado alikuwa na ubinadamu na upendo nje ya siasa.

Ndugai analifanya bunge kuwa sehemu ya ubaguzi na kujenga chuki kwa wawakilishi wawananchi.

Tukumbushane hili tukio ambapo kwenye tafrija hii mama Makinda alilisakata rumba na mkosoaji mkubwa wa ccm pale mjengoni. View attachment 1435129

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom