Elections 2010 Spika kutoka upinzani safari hii

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Kumekuwa na etieti kuwa wabunge a vyama pinzani wote kujiunga na kuwa kitu kimoja bungeni ili kumchagua spika atakaye tetea maslahi ya watanzania si chama,,

Spika huyo ambaye kwa mujibu wao ni lakee upinzani ili asije kubanwa na masharti ya chama tawala kinachosema ""CHAMA KWANZA MAMBO MENGINE BAADAYE""

Mini nasema safari hii ndio muda muafaka wa watanzania kutumia sauti yao kuiendeleza nchi yao,, na spika huyo awe ndo mstari a mbele kuibua case zoote za ufisadi na kuwa sweka ndani ili Tanzania ipate pesa zake zilizo ibiwa na Mafisadi wanao walinda kwa maslahi ya chama Flani

Nitafurahi sana na ""KILA LA GHELI WABUNGE MULIO FAULU KUWANYANG'AMYA CCM MAJIMBO,, TUSHIRIKIANE KUIJENGA TANZANIA MPYA..
 
Mini nataka kuona mawaziri kama nao watatoka upinzani?
 
Namwomba ndugu yangu Kinana ajiandae maana linanukia hilo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom