Spika kupiga simu kwa Rais kumuuliza majina ya wajumbe wa kuwaweka kwenye kamati ya bunge kunaashiria nini?

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
336
677
SPIKA KUPIGA SIMU KWA RAIS KUMUULIZA MAJINA YA WAJUMBE WA KUWAWEKA KWENYE KAMATI YA BUNGE KUNAASHIRIA NINI? -Haya si maneno yangu ni ya Rais mwenyewe. Zitoo aliyatumia kwenye utetezi wake kuhus hoja yake ya Bunge kuingiliwa na serikali na Ndugai hauusoma huo utetezi hadi leo.
 
Wee kafanye kazi ujiingizie kipato chako na familia yako, asubuhi yote hii unahangaika na mambo yasiyo kusaidia, utakufa maskini, bunge halitakuletea chakula kwako, kafanye kazi baadae ndio useme haya..!! 🖕
 
Rais ni sehemu ya Bunge na sheria imempa uwezo wa kulivunja bunge wakati wowote akitaka, lakini bunge likivunjika ni yeye peke yake anayeendelea kupeta! Acha tu wabunge waishi kinafiki hadi miaka yao mitano iishe...
 
Tumesema humu, time without number, kuwa ktk nchi zisizo na bunge humu duniani, Tanzania tops the list. Sisi tuna idara ya serikali inayojiita bunge.

Na huyo Ndugai hana tofauti na Meneja waTanroads au Mkurugenzi wa Ewura. Hopeless sana.
 
Aibu nimeona mimi
tapatalk_1549487670813.jpeg
 
Rais ni sehemu ya Bunge na sheria imempa uwezo wa kulivunja bunge wakati wowote akitaka, lakini bunge likivunjika ni yeye peke yake anayeendelea kupeta! Acha tu wabunge waishi kinafiki hadi miaka yao mitano iishe...
Jiwe Ni sehemu ya Parliament ama National Assembly?? Mbunge ni Member of Parliament au Member of National Assembly?

Unaweza kuniambia tofauti ya Parliament na National Assembly,?
 
Bunge ni mtoto wa serikali halina nguvu kabisa
Spika amekua msemaji wa serikali siku hizi maana kila hafla ya rais na yeye yumo pembeni
 
SPIKA KUPIGA SIMU KWA RAIS KUMUULIZA MAJINA YA WAJUMBE WA KUWAWEKA KWENYE KAMATI YA BUNGE KUNAASHIRIA NINI? -Haya si maneno yangu ni ya Rais mwenyewe. Zitoo aliyatumia kwenye utetezi wake kuhus hoja yake ya Bunge kuingiliwa na serikali na Ndugai hauusoma huo utetezi hadi leo.
Kunaashiria kuwa huyo aliyotoa siri hiyo hana uwezo wa kufikiri. Ni sawa na kuwaambia watu hadharani namna mnavyofanya mambo fulani na mkeo chumbani.
 
Majaji akiwemo jaji mkuu wanateuliwa na nani? Spika bila rais atatokea wapi??? hebu acheni kutoa povu la kifafa
 
Kila siku tunawambia kuwa mhimili wa Executive "umeimeza" mihimili mingine..

Mliokuwa mnakataa ndiyo muyaone hayo........

Na hayo ndiyo aliyoyasema Lissu kwenye Straight Talk Africa VOA. Magufuli amuamuru spika "Watoe nje ya Bunge, nami nitawashughulikia ipasavyo wakiwa nje ya Bunge". Hiki ndicho kinachotokea sasa.
 
Back
Top Bottom