Spika Job Ndugai azuia swali la Mbunge Kubenea lisijibiwe na Waziri Mkuu

Hamkumbuki ile taasisi moja mwaka Jana ilisababisha waumini wakashindwa kutekeleza nguzo baada ya kutapeliwa? Serikali inajua na Kubenea anajua ila kama kawaida yake MNAFIKI !!
 
Maswali chonganishi kwa lengo la kuleta Fitna Na farka katika jamii

Ibada husika Ni ya Hijja hata ikiratibiwa Na Vatican lakin ikatimiza Masharti yake hiyo ina swihi Haina Tatizo

Bakwata kuratibu hiyo Safari haibatilishi hiyo Ibada hata Kama hatuipendi Bakwata
Kwa hiyo ndio mnalazimisha BAKWATA waratibu pekee?
 
Katika swali lake, Kubenea alimuuliza Majaliwa kwamba sera ya Serikali ni kila mtu kuabudu dini anayotaka na kutokuingilia dini ya mtu mwingine, lakini Serikali imetoa kibali kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), kuratibu Hija ikiziacha taasisi nyingine.

Je, nini msimamo wa Serikali kwa sasa katika jambo hilo ambalo limeleta sintofahamu.
Hili ni swali la kisera, siku zote wabunge wanasisitiziwa kuuliza mwasali ya kisera tu vinginevyo kiti kinazuia swali kujibu. Hapa ni wazi Kubenea ameuliza swali ambalo Job naona hakulipenda kwani serikali imechukua upande na akamtolea nje Kubenea. Niwazi supika ametumia kiti chake kibabe kwenye hili. Poor job by Job.
 
Issue ni kwa nini asilijibu ikiwa ni swali halali?
Unamlazimisha alijibu wewe ndiye unaongoza bunge au spika aliyekataa,mwambie akujibu tu wewe labda kuna majibu uliyatarajia ambayo yangekukomboa,fanya yako ile ni siasa mazee!!
 
Hayo maswala ya dini si waulizane misikitini ..... sasa kila dhehebu likiamua kupeleka mambo yake bungeni itakuaje
 
Maswali chonganishi kwa lengo la kuleta Fitna Na farka katika jamii

Ibada husika Ni ya Hijja hata ikiratibiwa Na Vatican lakin ikatimiza Masharti yake hiyo ina swihi Haina Tatizo

Bakwata kuratibu hiyo Safari haibatilishi hiyo Ibada hata Kama hatuipendi Bakwata
swali la kubenea umelielewa au unajibu tuu kwasababu mahaba yako yapo Bakwata!??
 
Unamlazimisha alijibu wewe ndiye unaongoza bunge au spika aliyekataa,mwambie akujibu tu wewe labda kuna majibu uliyatarajia ambayo yangekukomboa,fanya yako ile ni siasa mazee!!
Wala sijalazimisha ajibu. Ameuliza swali halali-au kuna kanuni inayokataza maswali yenye uhusiano na dini? Hakuna kanuni kama hiyo nijuavyo, na swali ni la kisera kama inavyotakiwa. Ana haki ya kujibiwa, tunauliza imekuwaje.
 
Juzi alisifiwa kuhusu maji, nikasema huyu HAAMINIKI, leo jibu mmelipata!
Undeni bunge lenu mchague spika wenu mtakaye kuwa munamuongoza kwa remote control mkiwa nje ili afanye mnavyotaka nyie,nyie vipi mnataka kila kiongozi afanye mnavyotaka nyie????
 
Maswali chonganishi kwa lengo la kuleta Fitna Na farka katika jamii

Ibada husika Ni ya Hijja hata ikiratibiwa Na Vatican lakin ikatimiza Masharti yake hiyo ina swihi Haina Tatizo

Bakwata kuratibu hiyo Safari haibatilishi hiyo Ibada hata Kama hatuipendi Bakwata
Umeandika kiushabik
 
Back
Top Bottom