Spika Job Ndugai ataja sifa za mbunge kutibiwa nje ya nchi

Wauaji wa Lissu wanajulikana na wao wanajua kama tunawajua ndio maana hawajawahi hata kwenda kumsalimia, wakazuia hela ya matibabu na wakaondoa CCTV camera kwenye eneo la tukio ili wasiumbuke
Mkuu, usihofu. Kuna CCTV kali kuliko hiyo,na hakuna wa kuifunika,nayo ni MUNGU.
 
Hatimaye wametupa jibu sahihi LA wasiojulikana


Lissu gombeA uraisi tukupe kura za ndiooooooooo
 
Hawana lolote lengo lao afe wafurahi, hivi unategemea ndugài au magu wanaweza kutoa kibali kwa Lisu akatibiwe? Wauaji wakubwa wanaoishi kwa damu za watanzania
 
Back
Top Bottom