Spika Job Ndugai ang'ara Inter -Parliamentary Union (IPU)

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
1,446
1,001
TANZANIA YANG'ARA KIMATAIFA, YAUNGWA MKONO NA NCHI 179 IPU

Bunge la Tanzania laing'arisha Afrika kwenye mkutano wa Bunge la Dunia kwa kuwasilisha hoja ya dharura (Emergency Item) Kuhusu usawa (equity) wa upatikanaji wa Chanjo ya Corona kwa Nchi za Afrika iliyoungwa Mkono na Bunge hilo na kuifanya kuwa azimio la Dunia nzima.

===
Katika Mkutano wa 143 wa Bunge la Dunia (IPU) uliofanyika mjini Madridi-Hispania tarehe 26 hadi 30/11/2021,

Tanzania kwa niaba ya nchi za Afrika iliwasilisha hoja ya dharura (Emergency Item) kuhusu usawa (equity) katika upatikanaji wa Chanjo ya Korona kwenye nchi za Afrika.

Bunge hili linaundwa na Nchi 179 ambapo kunakuwa na wabunge zaidi ya 1,000.

Tanzania, kwa niaba ya Nchi zote za Afrika iliwasilisha hoja hiyo, ambapo Mhe. Dr. Joseph Mhagama Mbunge wa Madaba aliwasilisha na kuhitimisha hoja.

Kwavile kanuni namba 11.2 ya Bunge la Dunia inataka kuwepo na hoja moja tu ya dharura katika Mkutano wake, na kwavile jumla ya hoja tano zilikuwa zimewasilishwa na Makundi mbalimbali ya Nchi (Geopolitical Groups),

Lakini pia, makundi ya nchi za Amerika ya Kusini wakiwakilishwa na Mexico; Nchi za Ulaya (The group of 12) zikiwakilishwa na Ujerumani, Latvia, uholanzi, n.k; ajenda ya Palestina ikiwakilishwa na Indonesia; pamoja na ajenda ya Urusi (Russian Federation), Kwa umuhimu wa hoja hiyo, nchi hizo zote ziliondoa hoja zao na kuunga mkono hoja ya Tanzania/Afrika.

Unaweza kupata wasilisho la hoja kwa ukamilifu hapa 2021-11-27_Tansania_final_cut.mp4

Aidha, Baada ya hoja kujadiliwa katika kikao hicho cha Bunge la Dunia tarehe 28.11.2021, iliundwa kamati ya kutengeneza Maazimio juu ya hoja hiyo, ambapo Tanzania ilitambuliwa kama mtunzi wa hoja (Author).

Hoja ilipitishwa rasmi kama Azimio la Bunge la Dunia tarehe 29.11.2021. Unaweza kufuatilia uhitimishaji wa hoja hiyo kwa ukamilifu hapa 2021-11-28_Tansania2_final_cut.mp4

Azimio lililopitishwa litakuwa linapatikana kwenye tofuti rasmi ya Bunge la Dunia www.ipu.org kwa ajili ya rejea na utekelezaji.

Shukrani za pekee kwa Mhe. Rais mama SAMIA SULUHU HASSAN , Mhe. Spika Job Ndugai, Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi, Wabunge wa IPU Mhe. Elibariki Kingu, Esther Matiko, Ramadhan Suleyman na Eng. Mwanaisha Ulenge na Makatibu wa Bunge la JMT akiwemo Katibu Mratibu wa Ujumbe wa Tanzania katika Bunge la IPU Ndg. Zainab Kihange.

Acheni ubwege

Kwahyo unadhan waafrika wenzetu wangegoma kuwe na usawa wa chanjo mbona hoja iko waz hakuna ambaye angegoma

Ishu n kwamba hao mnaowaita mabeberu watatoa hizo chanjo bila masharti ambayo hayatathir tamamdun na uchumi wa afrika?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
TANZANIA YANG'ARA KIMATAIFA, YAUNGWA MKONO NA NCHI 179 IPU

Bunge la Tanzania laing'arisha Afrika kwenye mkutano wa Bunge la Dunia kwa kuwasilisha hoja ya dharura (Emergency Item) Kuhusu usawa (equity) wa upatikanaji wa Chanjo ya Corona kwa Nchi za Afrika iliyoungwa Mkono na Bunge hilo na kuifanya kuwa azimio la Dunia nzima.

===
Katika Mkutano wa 143 wa Bunge la Dunia (IPU) uliofanyika mjini Madridi-Hispania tarehe 26 hadi 30/11/2021,

Tanzania kwa niaba ya nchi za Afrika iliwasilisha hoja ya dharura (Emergency Item) kuhusu usawa (equity) katika upatikanaji wa Chanjo ya Korona kwenye nchi za Afrika.

Bunge hili linaundwa na Nchi 179 ambapo kunakuwa na wabunge zaidi ya 1,000.

Tanzania, kwa niaba ya Nchi zote za Afrika iliwasilisha hoja hiyo, ambapo Mhe. Dr. Joseph Mhagama Mbunge wa Madaba aliwasilisha na kuhitimisha hoja.

Kwavile kanuni namba 11.2 ya Bunge la Dunia inataka kuwepo na hoja moja tu ya dharura katika Mkutano wake, na kwavile jumla ya hoja tano zilikuwa zimewasilishwa na Makundi mbalimbali ya Nchi (Geopolitical Groups),

Lakini pia, makundi ya nchi za Amerika ya Kusini wakiwakilishwa na Mexico; Nchi za Ulaya (The group of 12) zikiwakilishwa na Ujerumani, Latvia, uholanzi, n.k; ajenda ya Palestina ikiwakilishwa na Indonesia; pamoja na ajenda ya Urusi (Russian Federation), Kwa umuhimu wa hoja hiyo, nchi hizo zote ziliondoa hoja zao na kuunga mkono hoja ya Tanzania/Afrika.

Unaweza kupata wasilisho la hoja kwa ukamilifu hapa 2021-11-27_Tansania_final_cut.mp4

Aidha, Baada ya hoja kujadiliwa katika kikao hicho cha Bunge la Dunia tarehe 28.11.2021, iliundwa kamati ya kutengeneza Maazimio juu ya hoja hiyo, ambapo Tanzania ilitambuliwa kama mtunzi wa hoja (Author).

Hoja ilipitishwa rasmi kama Azimio la Bunge la Dunia tarehe 29.11.2021. Unaweza kufuatilia uhitimishaji wa hoja hiyo kwa ukamilifu hapa 2021-11-28_Tansania2_final_cut.mp4

Azimio lililopitishwa litakuwa linapatikana kwenye tofuti rasmi ya Bunge la Dunia www.ipu.org kwa ajili ya rejea na utekelezaji.

Shukrani za pekee kwa Mhe. Rais mama SAMIA SULUHU HASSAN , Mhe. Spika Job Ndugai, Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi, Wabunge wa IPU Mhe. Elibariki Kingu, Esther Matiko, Ramadhan Suleyman na Eng. Mwanaisha Ulenge na Makatibu wa Bunge la JMT akiwemo Katibu Mratibu wa Ujumbe wa Tanzania katika Bunge la IPU Ndg. Zainab Kihange.

View attachment 2028621
Upuuz mtupu
 
Mambo madogo mno hayo mnayashabikia, mambo ya kitoto ndio maana hatusongi mbele.

CC machadema

Bavicha hawatafurahia!
 
Back
Top Bottom